Kuna mjapan ana miaka 53 na bado anakipiga kam kawaMiaka 34 mbona ndiyo umri standard kustaafu soka la kimataifa!
Pele,Maradona,Ronaldo De Lima,Ronaldinho walistaafu soka la kimataifa kabla ya umri huo.
De Lima alistaafu na 29 tu,imagine!! Kama siyo majeraha,Ronaldo&Messi watacheza WC 2030 kwa sababu za kibiashara zaidi.
Nadhani jamaa unaambiwa ye na mchezaji mwenzake pique walisha safiti usiku kwenda Dubai kula Bata na wana alafu usiku huohuo wakageuza kurudi Barcelona Kwa AJILI ya game siku inayo fata, balaa sana kwenye Bata Bata sio kabisa weka mbali SI TU mpira hata shule kama ni mwanafunzi acha kabisa Bata, au mtumishi mchanga acha kabisa Bata,Neymar bata sana,majeraha na kuzuzuliwa na utajiri wa ukubwani alidhani kipaji kitambeba hata kama hakitumii kukitunza.
Kama kipaji kipo kipo tu goli kipa wa cape Verde je si 40 ile lakini shughuli yake motooA good dancer knows when to leave the stage.
Mambo yakuja kupigwa Doba na madogo kina Lamine Yamal ni mambo ya kufedheheshana.
When you stay for too long, you will spoil.
KOMBE LA dunia linawahitaji mastar Kwa AJILI ya kuchangamsha genge
Sio Ronaldo tu hata MessiNeymar anastaafu soka la kimataifa akiwa na umri mdogo sana, sijui shida Nini, hapo ndo napo mheshimu sana ronaldo
Mesii bado kinda hata 40 tu hajakaribiaSio Ronaldo tu hata Messi
Hajakaribia 40 kivipi?Mesii bado kinda hata 40 tu hajakaribia
Ana 36 sijui37, bado Chali labda kawe kavivu tu, nakenyeweHajakaribia 40 kivipi?
Aisee nimejuta kuja kwenye uzi wako kumbe hujui lolote🤣🤣🤣Ana 36 sijui37, bado Chali labda kawe kavivu tu, nakenyewe
We unae jua si useme Ronaldo alikua ana mzidi mesi miaka minne, au ume google? Mi sija google mi ni shabikia kindakindaki natunza memoryAisee nimejuta kuja kwenye uzi wako kumbe hujui lolote🤣🤣🤣
Sikulaumu usiku una mengiWe unae jua si useme Ronaldo alikua ana mzidi mesi miaka minne, au ume google? Mi sija google mi ni shabikia kindakindaki natunza memory
Aliamua tu maana kombe la dunia la 1974 hakucheza Ila alikuwa anacheza kwenye klabu yake ya SantosBasi aliamua tu kukaa pembeni miaka 30 michache sana fatilia vizuri Kuna sababu