Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
napenda kuhitimisha kuwa dsm hakuna askari polisi.. kuna polisi wa kuidhibiti chadema basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha viumane ni kama tunarudi utotoni vileNi kama wamemsusia mother hivi.
Wanaume wazima inakuwaje mmnyimwe usingizi na vitoto under 20?napenda kuhitimisha kuwa dsm hakuna askari polisi.. kuna polisi wa kuidhibiti chadema basi.
Wanatia aibu aiseeKasulu huko mwez uliopita kuna mwanamke alimuua jalbazi mwenye siraha aliyekuja kumvamia mume wake.
Huko Mara kuna mamama aliwakalisha majambazi wenye siraha akawanyanganya bunduki.
Wanaume wa dar wanafeli wapi?? Inasemekana wanaume wa dar wanasifika kwa kuchamba "eti" wanaweza kukuchamba mpaka ukazimia. Sasa si muwachambe hao vibaka aisee. Vibaka wenyewe ni machaliii tu
polisi wa mchongoPolisi siyo upepo kwamba atakuwepo kila mahali! Polisi hawawezi kupiga kila raia pasipo ushahidi!
Chamsingi RAIA nikutoa taarifa sahihi kwa wakati ili wafike eneo husika!
Pia ulinzi shirikishi unasaidia kupunguza tatizo!
Polisi wakianzisha msako wakukamata vijana wazurulaji watu kama wewe ndo wa kwanza kupush hashtag kuwa wanaonewa!
Polisi wana madhaifu kama binadamu lakini tusiwabeze kiasi hiko hadi kusema hawapo!
Polisi ni systems (informative) siyo kazi ya polisi ku kufungia geti la nyumbani kwako!
Lakini ukitoa taarifa za uvamizi wanakuja