kuhusu panya road: Dar es salaam hakuna Polisi

Polisi siyo upepo kwamba atakuwepo kila mahali! Polisi hawawezi kupiga kila raia pasipo ushahidi!
Chamsingi RAIA nikutoa taarifa sahihi kwa wakati ili wafike eneo husika!

Pia ulinzi shirikishi unasaidia kupunguza tatizo!
Polisi wakianzisha msako wakukamata vijana wazurulaji watu kama wewe ndo wa kwanza kupush hashtag kuwa wanaonewa!
Polisi wana madhaifu kama binadamu lakini tusiwabeze kiasi hiko hadi kusema hawapo!

Polisi ni systems (informative) siyo kazi ya polisi ku kufungia geti la nyumbani kwako!
Lakini ukitoa taarifa za uvamizi wanakuja
 
Na by the way...nauli zimepanda[emoji2210]...acha inyeshe
 
Kasulu huko mwez uliopita kuna mwanamke alimuua jalbazi mwenye siraha aliyekuja kumvamia mume wake.
Huko Mara kuna mamama aliwakalisha majambazi wenye siraha akawanyanganya bunduki.

Wanaume wa dar wanafeli wapi?? Inasemekana wanaume wa dar wanasifika kwa kuchamba "eti" wanaweza kukuchamba mpaka ukazimia. Sasa si muwachambe hao vibaka aisee. Vibaka wenyewe ni machaliii tu
Wanatia aibu aisee
 
Polisi siyo upepo kwamba atakuwepo kila mahali! Polisi hawawezi kupiga kila raia pasipo ushahidi!
Chamsingi RAIA nikutoa taarifa sahihi kwa wakati ili wafike eneo husika!

Pia ulinzi shirikishi unasaidia kupunguza tatizo!
Polisi wakianzisha msako wakukamata vijana wazurulaji watu kama wewe ndo wa kwanza kupush hashtag kuwa wanaonewa!
Polisi wana madhaifu kama binadamu lakini tusiwabeze kiasi hiko hadi kusema hawapo!

Polisi ni systems (informative) siyo kazi ya polisi ku kufungia geti la nyumbani kwako!
Lakini ukitoa taarifa za uvamizi wanakuja
polisi wa mchongo
 
Ila siro mganga wake mkali aisee! Magu alishindwa kumtoa mama hataweza kabisa .
 
Back
Top Bottom