Kuhusu plea-bargaining inaonesha kuwa Tanzania hatuna Viongozi wanaojitambua

Kuhusu plea-bargaining inaonesha kuwa Tanzania hatuna Viongozi wanaojitambua

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Mtu anataifisha pesa kutoka kwa Mtu binafsi then huyo Mtu anakamatwa na anafanya plea-bargaining na serikali then analipa pesa kwa Serikali baada ya kukili kosa lake mahakamani kupitia ofisi ya (Dpp) na kuachiwa huru hii huku victim muhathirika wa kuibiwa pesa zake na Mali anatoka 0-0

Hivi kwa Akili ya kawaida unaweza kusema Hawa Viongozi wa Tanzania wapo na Akili timamu?
 
Alafu wanajiita wazalendo , yaani kwangu mm hakuna awamu iliongozwa kishetani kama awamu ya 5 , ni awamu ya hovyo kuwahi kutokea ....iliongozwa na shetani ndo maana mungu akautua ule mzigo kwa watanzania ...leo hii akina makonda na Sabaya wangeongoza kwa utajiri Africa
 
Mtu anataifisha pesa kutoka kwa Mtu binafsi then huyo Mtu anakamatwa na anafanya plea-bargaining na serikali then analipa pesa kwa Serikali baada ya kukili kosa lake mahakamani kupitia ofisi ya (Dpp) na kuachiwa huru hii huku victim muhathirika wa kuibiwa pesa zake na Mali anatoka 0-0

Hivi kwa Akili ya kawaida unaweza kusema Hawa Viongozi wa Tanzania wapo na Akili timamu?
Plea bargaining imechelewa kwetu. Nchi za wenzetu ni jambo la kawaida sio la kutokwa povu.
 
Bora awamu zingine ila ya Tano tuliongozwa ki maajabu kabisa !! Tunashukuru Mungu sisi watanzania hata bila Rais tunaweza kujiongoza wenyewe vingine tungesema mengine
 
Back
Top Bottom