Kuhusu sakata la TEC na Father Dkt Kitima, Waziri Bashungwa unataka tukueleweje?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Waziri Bashungwa tukueleweje? Unakuwa Mkali kwa Waraka unaodaiwa Feki wa TEC, ila hujaonekana hata ukiwa na Uchungu kwa Kujeruhiwa kwa Fr. Dkt. Kitima

Kwahiyo ndiyo kusema kuwa Kwako Wewe Waraka huo Feki wa TEC ni bora kuliko Tukio baya alilofanyiwa Fr.Dkt. Kitima?
 
Eti wanasema anaandaliwa ......
Yaani unabaki unacheka tu...kama huyu ndio anaandaliwa basi bongo haitakuja kuendelea kamwe....
 
Huenda huo Waraka fake ndio ambao unamuuma zaidi kuliko hili tukio la kushambuliwa kwa Fr. Dkt. Kitima.

Isitoshe, tayari zilishaibuka taarifa kwamba huyo Mtu yeye mwenyewe binafsi anahusika moja kwa moja katika kupanga mipango ya tukio hilo la Dkt. Kitima. Na mpaka leo hii huyo Mtu aliyetoa taarifa hii wala hajahojiwa au kukamatwa na vyombo vya Dola
 
Eti wanasema anaandaliwa ......
Yaani unabaki unacheka tu...kama huyu ndio anaandaliwa basi bongo haitakuja kuendelea kamwe....
Huyu ndiye ajaye? Kama ndivyo tuna safari ndefu ya kufa mtu, yaani wa jehanamu watafika wamechoka na wa peponi watafika ulimi ukiwa nje
 
Waziri Bashungwa tukueleweje? Unakuwa Mkali kwa Waraka unaodaiwa Feki wa TEC, ila hujaonekana hata ukiwa na Uchungu kwa Kujeruhiwa kwa Fr. Dkt. Kitima

Kwahiyo ndiyo kusema kuwa Kwako Wewe Waraka huo Feki wa TEC ni bora kuliko Tukio baya alilofanyiwa Fr.Dkt. Kitima?
Si ni chawa wa bi mdashi
 
kwanza tunataka suala la uraia wake likae sawa , maana kuna watu hatuna kabisaaaa imani na uraia wake, kuna watu wana details kabisaaaaaa za alikozaliwa mpaka anakuja nchini, halafu eti mnasema nchi hiyo ina usalama wa taifa kabisa nonsense.
 
Back
Top Bottom