father kitima kushambuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuhusu sakata la TEC na Father Dkt Kitima, Waziri Bashungwa unataka tukueleweje?

    Waziri Bashungwa tukueleweje? Unakuwa Mkali kwa Waraka unaodaiwa Feki wa TEC, ila hujaonekana hata ukiwa na Uchungu kwa Kujeruhiwa kwa Fr. Dkt. Kitima Kwahiyo ndiyo kusema kuwa Kwako Wewe Waraka huo Feki wa TEC ni bora kuliko Tukio baya alilofanyiwa Fr.Dkt. Kitima?
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Rais wa TEC amesema ana imani kubwa na Jeshi la polisi

    Wakuu nmekutana na hili sijui gazeti sijui kipeperushi kikielezea kuwa Rais wa TEC amesema ana imani na jeshi la polisi na amewasailiana na IGP Wambura kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Katibu wa TEC Padre charles Kitima wanadai ni kutokana na mahojiano aliyoyafanya na Dw, Je ni kweli?
Back
Top Bottom