GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Akiongea mdomo mbona kama unapindaHuyu mnyambo hata kwao huko watu wana mcheki tu kwa mambo yake.
Domo kubwa kama chai jaba wa matangazo ya miaka ya TV za antena
Eti wanasema anaandaliwa ......Waziri Bashungwa tukueleweje? Unakuwa Mkali kwa Waraka unaodaiwa Feki wa TEC, ila hujaonekana hata ukiwa na Uchungu kwa Kujeruhiwa kwa Fr. Dkt. Kitima
Kwahiyo ndiyo kusema kuwa Kwako Wewe Waraka huo Feki wa TEC ni bora kuliko Tukio baya alilofanyiwa Fr.Dkt. Kitima?
Waziri Bashungwa tukueleweje? Unakuwa Mkali kwa Waraka unaodaiwa Feki wa TEC, ila hujaonekana hata ukiwa na Uchungu kwa Kujeruhiwa kwa Fr. Dkt. Kitima
Kwahiyo ndiyo kusema kuwa Kwako Wewe Waraka huo Feki wa TEC ni bora kuliko Tukio baya alilofanyiwa Fr.Dkt. Kitima?
Huyu ndiye ajaye? Kama ndivyo tuna safari ndefu ya kufa mtu, yaani wa jehanamu watafika wamechoka na wa peponi watafika ulimi ukiwa njeEti wanasema anaandaliwa ......
Yaani unabaki unacheka tu...kama huyu ndio anaandaliwa basi bongo haitakuja kuendelea kamwe....
Anaandaliwa na nani?Eti wanasema anaandaliwa ......
Yaani unabaki unacheka tu...kama huyu ndio anaandaliwa basi bongo haitakuja kuendelea kamwe....
Huwa nasikitika sanaEti wanasema anaandaliwa ......
Yaani unabaki unacheka tu...kama huyu ndio anaandaliwa basi bongo haitakuja kuendelea kamwe....
Si ni chawa wa bi mdashiWaziri Bashungwa tukueleweje? Unakuwa Mkali kwa Waraka unaodaiwa Feki wa TEC, ila hujaonekana hata ukiwa na Uchungu kwa Kujeruhiwa kwa Fr. Dkt. Kitima
Kwahiyo ndiyo kusema kuwa Kwako Wewe Waraka huo Feki wa TEC ni bora kuliko Tukio baya alilofanyiwa Fr.Dkt. Kitima?
Unacheka nn? Au neno chai jaba?πππππππ
Chama Cha Majinga.Anaandaliwa na nani?