Kuhusu Sare za Shule hasa za Msingi

Kuhusu Sare za Shule hasa za Msingi

Gm1

Member
Joined
Oct 12, 2021
Posts
11
Reaction score
10
wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili kupata baridi, Kuna maeneo yenye udongo mwekundu sana shati jeupe haliwezi kubaki na rangi yake, na maeneo mengine ni yana uhaba wa maji safi, maji yaliyopo tena kwa uhaba n maji chumvi, ukifulia nguo nyeupe n umeibadili rangi. wajuzi wa Mambo wanitoe ushamba kuhusu sare za shule na mchango wake katika kuchochea matarajio ya elimu husika.
 
Waraka upo tayari. Punguza ujuaje mama anatenda kazi ya MUNGU.
 
wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili kupata baridi, Kuna maeneo yenye udongo mwekundu sana shati jeupe haliwezi kubaki na rangi yake, na maeneo mengine ni yana uhaba wa maji safi, maji yaliyopo tena kwa uhaba n maji chumvi, ukifulia nguo nyeupe n umeibadili rangi. wajuzi wa Mambo wanitoe ushamba kuhusu sare za shule na mchango wake katika kuchochea matarajio ya elimu husika.
Arusha shule nyingine wanavaa suruali

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom