Kenneth kache
Member
- Mar 7, 2014
- 38
- 5
aaaah ni ujinga mtupu siku hizi hakuna elimu.
wanatoa wa 7 mwanzoni ndugu
aaaah ni ujinga mtupu siku hizi hakuna elimu.
Wanfunzi Wenzangu Tuliofaulu Mwaka Jana, Tusihofie Selections Coz Hizo Sio Matokeo Kwamba Tutafeli, Kama Wakichelewa Kuzitoa Ndivyo Nasi Tutachelewa Kuripoti
TUWE NA SUBIRA
jaman naomben kuulz man vijan wanatetemkaa hzo post ni kwa grade 1_2 au 1,2,3..
Wadau naomba kama kua anaejua lini selections zitatoka . Tumesubiri sana, au ndo kawaida zinachelewaga hivi?
Aisee ndugu post yako ni nzuri lakini reply zake zinanivunja mbavu bhana.
Yani hizi post zinachelewa mpaka home wanahisi nimewadanganya kua nimefaulu.
dah! tutasubiri mpaka lini?
Yani hizi post zinachelewa mpaka home wanahisi nimewadanganya kua nimefaulu.
dah! tutasubiri mpaka lini?
ila leo thr 6 jamani vip bado wanazingua 2 au?