Kuhusu selection za form five 2014

Kuhusu selection za form five 2014

Wanfunzi Wenzangu Tuliofaulu Mwaka Jana, Tusihofie Selections Coz Hizo Sio Matokeo Kwamba Tutafeli, Kama Wakichelewa Kuzitoa Ndivyo Nasi Tutachelewa Kuripoti
TUWE NA SUBIRA
 
Jaman naomben kuulz man vijan wanatetemkaa hzo post ni kwa GRADE 1_2 Au 1,2,3..
 
Wanfunzi Wenzangu Tuliofaulu Mwaka Jana, Tusihofie Selections Coz Hizo Sio Matokeo Kwamba Tutafeli, Kama Wakichelewa Kuzitoa Ndivyo Nasi Tutachelewa Kuripoti
TUWE NA SUBIRA

Nani kakwambia tutachelewa kwenda.post zaweza toka wiki 3 kabla ya kwenda shule kama mwaka jana.
 
hata wakitoa siku tano kabla ya kwenda shule hakuna kufeli, kama ulijua umefaulu na ulikuwa na nia ya kwenda form five ungejiandaa mapema ili wakizitoa uwe tayari
 
Yani hizi post zinachelewa mpaka home wanahisi nimewadanganya kua nimefaulu.
dah! tutasubiri mpaka lini?
 
Yani hizi post zinachelewa mpaka home wanahisi nimewadanganya kua nimefaulu.
dah! tutasubiri mpaka lini?

Hahahahahaaaaaa:sly::sly::sly::sly: aiseeeh mbavu zangu, usijali mdogo angu zitattoka tuu hop by mid june zitakua out.
 
Back
Top Bottom