Wayne Marin
Member
- Jan 31, 2014
- 61
- 2
Wadau naomba kama kua anaejua lini selections zitatoka . Tumesubiri sana, au ndo kawaida zinachelewaga hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa kimya!Wadau naomba kama kua anaejua lini selections zitatoka . Tumesubiri sana, au ndo kawaida zinachelewaga hivi?
Walikuwa kimya!
Sasa wamerudi....
Subiri mwezi wa sita!
Mbona,,,,,,zimeshatokaaaaa au ujaziona
Mbona,,,,,,zimeshatokaaaaa au ujaziona
acha uongo kijanaMbona,,,,,,zimeshatokaaaaa au ujaziona
punguzen mzuka madogo