Kuhusu selection za form five 2014

Kuhusu selection za form five 2014

Mimi nawashauli madogo mjiajiri tu.maana hawa viongozi wana tamaa hadi na selections zenu inatakiwa wote muwe na msimamo mmoja mkatae kwenda wakizitoa mwezi wa saba
 
Mimi nawashauli madogo mjiajiri tu.maana hawa viongozi wana tamaa hadi na selections zenu inatakiwa wote muwe na msimamo mmoja mkatae kwenda wakizitoa mwezi wa saba

du! kweli kuna kazi hapo
 
una uhakika gani ndugu au we ni miongoni mwa wale wa division five....,?[

jieshimu kwanza nawe utaeshimiwa acha zalau ww division five ya wizara yako ya elimu au ndo unajifanya ww ndo msomi sana.acha zalau pia uwo n utoto ww n mtu mzma ss]
 
Mimi nawashauli madogo
mjiajiri tu.maana hawa viongozi wana tamaa hadi na selections zenu
inatakiwa wote muwe na msimamo mmoja mkatae kwenda wakizitoa mwezi
wa saba

eti eeh,ukitaka elimu jaribu ujinga
 
hahahahahahahahahahahahahahahaha jaman 4m 4 liver 2014 polen sn kwa kusubiri post kwa mda mref
 
Back
Top Bottom