Kuhusu selection za form five 2014

Kuhusu selection za form five 2014

mi sina div. three. Ila unauhakika gani kua haziwahusu?

wewe unawazimu ulimsikiliza shukuru kawambwa kauli yake juu ya watakaoenda kidato cha tano ni division 1 Hadi division three ya point 31
sory Wyne nilikuwa nakusaidia kumjibu huyo jamaa wa loliondo
 
We Dogo ni Jinga sana !

Umenikera sio siri !

Ahsante mods kwa kumpa haki yake !
 
Back
Top Bottom