Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

Huyu JPM apumzike kwa amani watu wameshindwa kumsahau πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
watu wameteseka sana kwa sababu yake, na kwa ajili yake kundi la vijana wanaitwa chawa limeanzia huko, wakagundua kumbe ukisifia tuu unaweza kula shavu, kumsahau inakuwa ngumu sana
 
Hueleweki kabisa. Wengine tunasema ajira ziendelee kupanuliwa wewe unataka ziishe kabisa. Sasq we ni binadamu wa kawaida kweli
 
Mimi nilitegemea hayo mazuri ya Samia yangefanya wamsahau kabisa Magufuli.
wanamsahau vipi, watu hawajaajriwa tangu 2015, Samia ataweza kuwamaliza? halafu kwa bahati mbaya unaweza fikiri alikuwa haajiri kwa sababu walimu ni wengi huko mashuleni la hasha! kuna shule zinasota hazina walimu
 
ilishatumbukia kabla ya huyo unaemlaumu.
Jk aliipandisha sana interms of employment vacancies both private sector and serikali. Kipindi cha jk jeshini ilikuwa kwenda kuandika jina lugalo tu na kuitwa kwenye mafunzo, kila aliyegraduate ualimu au udaktari anapata ajira hapo hapo. Jpm akaja kuvuruga kila kitu
 
Nadhani Wewe unayesubiri ajira Kwenye Nchi yenye Fursa Kibao Hii ya Tanzania ndio una matatizo makubwa

Huyo Magufuli mwenyewe ajira yake iliishia Kwenye Ualimu wa Kemia TU ila alijiongeza

Endelea kusubiri hapo hapo πŸ˜‚
Hatuwezi wote kuwa wana siasa au wafanya biashara lazima wengine tuajiriwe ili tuje tununue vitu vyenu. Bila sisi mtafirisika
 
wanamsahau vipi, watu hawajaajriwa tangu 2015, Samia ataweza kuwamaliza? halafu kwa bahati mbaya unaweza fikiri alikuwa haajiri kwa sababu walimu ni wengi huko mashuleni la hasha! kuna shule zinasota hazina walimu
Kwa hali hiyo unaweza kukuta hadi Samia anatoka na kuingia Rais mwengine ila bado Magufuli ataendelea kulaumiwa.
 
Hatuwezi wote kuwa wana siasa au wafanya biashara lazima wengine tuajiriwe ili tuje tununue vitu vyenu. Bila sisi mtafirisika
Uajiriwe Kwa Elimu gani uliyonayo?!

Ajira zinatangazwa daily na wote waliosoma Kwa kumaanisha Ili Waajirike wako maofisini tayari

Sasa Wewe umesoma Chuo kilichomtunuku Ngao Kafulila unategemea nani akuajiri?

Utasubiri sananπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nina ajira kubwa sana serikalini nilimalisa kipindi cha jk. Jpm amewatelekeza vijana mtaani. Kwa jk hakuna aliyekosa ajira
 
Yule hakuwa mtu wa kawaida,shetani
 
Yaache hayo manyonye tena alikufa mapema ilitakiwa awepo Ili wanyooke vizuri.

Hakuishia huko kwenye Ajira Hadi kwenye Kilimo alivuruga.
 
Nilishakutana na watu kwenye interview wameajiriwa lakini nao wame apply tena na wanapata kwa sababu wana uzoefu.😜😜πŸ€ͺ watu wamefanya interview za kutosha hadi vipara vimewaota lakini bado hawajapata. Tusome sana ndugu zangu.
Duh hii ni noma
 
Hoja yako ni ipi sasa maana wewe huwa hueleweki na hata wewe mwenyewe hujuagi umeandika nini.
 
Magufuli hana jema hata moja. Jk is the best president of all presidents ever. Hakuna aliyemwaga ajira kama jk hapa tanzania
Wewe ni vyeti feki tu!! Chuki yote ya nini kama kweli una hio ajira ya laki saba hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…