- Thread starter
- #41
No.Apumzike kwa amani JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No.Apumzike kwa amani JPM
Kuongeza taasisi siyo kuongeza ajira, mfano Meneja wa TARURA anakunja 4.6M nje na posho kwa mwezi, kumbe angebaki halmashauri angeendelea kulipwa mshahara wa kawaida ambao hauzidi 2M na 2.6M angeweza kuajiri walimu 5 wa diploma au 3 wa degree, kumbuka ndani ya hizo taasisi kuna idara kibao fedha/manunuzi/hr/communication/auditing n.k hao wote wanalipwa stahiki za wakuu wa vitengo na idara, fanya reserach masterHueleweki kabisa. Wengine tunasema ajira ziendelee kupanuliwa wewe unataka ziishe kabisa. Sasq we ni binadamu wa kawaida kweli
Huwezi kunielewa, nasikia upata ajira hizi za December 2024 umekuwa VEO, hongera sn mkuuHoja yako ni ipi sasa maana wewe huwa hueleweki na hata wewe mwenyewe hujuagi umeandika nini.
JPM ataendelea kulaumiwa sana hataachwa salamaKwa hali hiyo unaweza kukuta hadi Samia anatoka na kuingia Rais mwengine ila bado Magufuli ataendelea kulaumiwa.
Na wajinga pamoja na wazembe waliolelewa vibaya na mama zaoJPM ataendelea kulaumiwa sana hataachwa salama
si ndio wanyonge wenyewe, ndio alikuwa anawapambania na alijinasibu kuwa yeye ni kiongozi wa wanyonge na yuko pale kuwafanya matajiri waishi kama mashetani nadhani unaelewa wanaoishi kama mashetani ni akina nani!Na wajinga pamoja na wazembe waliolelewa vibaya na mama zao
ALIWARUDISHA GRADUATE MITAANI HIVI UNAFIKIRI GRADUATE WOTE WANAWEZA KUAJIRIWA NA SERIKALI? JARIBU KWENDA NA WAKATI HUU SIYO WAKATI WAKUKIMBILIA AJIRA ZA SERIKALI WATAWAWEKA WAPI?Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.
Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.
Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Samis is prooving him wrong!! Inawesekana ukiwa una akili timamu. Jamaa hamuwa na akili timamu ndo mana alikuwa anajiita kichaaALIWARUDISHA GRADUATE MITAANI HIVI UNAFIKIRI GRADUATE WOTE WANAWEZA KUAJIRIWA NA SERIKALI? JARIBU KWENDA NA WAKATI HUU SIYO WAKATI WAKUKIMBILIA AJIRA ZA SERIKALI WATAWAWEKA WAPI?
Maendeleo ni nini? For my side maendeleo ni pamoja na watu kula bada ambapo facilitator wa bata ni mshaharaMnataka nchi iwe inaishia kulipa mishahara tu,bila maendeleo yeyote.
Kwa hiyo kumbe wewe kilichokufanya kuwa na chuki yote hii Kwa Magufuli ni njaa tu ambayo ilitokana na joblessness uliyokuwa nayo tangu kipindi Chake sio??Nina ajira tayari. Soma nilichoandika. Nimesema thanks to Mama nowa niko serikalini
Hawa vijana WA kisasa hata usipowajengea zahanati kwenye vijiji vyao na kuwaboreshea huduma muhimu kama maji na umeme, ila ukiwapa uhakika WA mishaara watakuona wewe ni Mungu mtu.Mnataka nchi iwe inaishia kulipa mishahara tu,bila maendeleo yeyote.
Ndio ushavaa t-shirt lako limeandikwa nani km mama? Na inaonekana picha ya Samia, wewe muogope Mungu atakutembezea moto wa Los Angeles shauri yakoThanks to Samia nimepata ajira juzi juzi tu
Oya weweboya unamtukana JK unajua yaan matusi yako yote yanaenda kwa JK bora unyamaze tu kuficha ujinga wako, Samia kakupa ajira Samia kakupa kaa kimya kumwmakoJpm alivurunda urais. Sijui ilikuwaje kuwaje akawa rais mtu ambaye hana uwezo kabisa
Kiuhalisia nadhani kinachoendelea si lawama.JPM ataendelea kulaumiwa sana hataachwa salama
Magufuli hahusiki na graduates kuwa mitaani. Na mwaka wa tano tangu atwaliwe na bado hao graduates wapo mitaani. Shida ingekuwa yeye huyu aliyepo angeshawaajiri wote.Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.
Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.
Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Kwani wewe hapa duniani unafanya nini? Unaweza kuishi bila kula? Yaani unatala tumsifoe rais ambye katulaza njaa five years na kiteka na kuua kila anayempinga as if yeye hapingwi kabisa. Mungu ndo hapingwi peke yakeKwa hiyo kumbe wewe kilichokufanya kuwa na chuki yote hii Kwa Magufuli ni njaa tu ambayo ilitokana na joblessness uliyokuwa nayo tangu kipindi Chake sio??
Sasa hivi unamshukuru Samia na kumuona ni Mungu mtu sababu umepata ajira kwenye serikali yake?... Kama ndio hivi basi akili zako ni ndogo sana na hiyo elimu yako ni geresha tu haijakusaidia kukupa maarifa wala kukuondolea ujinga.
Mosi, akili zako ni ndogo sana sababu ulishindwa kutumia elimu yako kujiondoa kwenye dimbwi la umaskini na badala yake ukaisubiri serikali ndio ije ikuajiri hili kupata uaheni ya kimaisha, hivyo basi nje na ajira wewe huwezi ukaishi, Kwa ufupi tu ni kwamba wewe Bado ni mjinga na hauna maarifa ya kukabiliana na changamoto za kimaisha.
Pili, ubora wa raisi kwako unaupima Kwa kigezo Cha yeye kutoa ajira tu basi, yaani Kwa namna nyingine kiongozi Bora kwako ni yule anayekuhakikishia kushiba tu ... Sasa watu kama wewe mna mentality za kimaskini sana, maana jambo muhimu kwako pekee ni kula tu basi, na pia wewe ni rahisi sana kuongozwa na mafisadi yanayokuibia mabilioni huku yakikupa kimshaara Cha million Moja na ukaridhika kabisa.
No, wonder Samia anauza rasilimali huku akiwadanganyishia Kwa viajira vya mara Kwa mara maana ameshajua upeo wenu ni duni sana, hamuoni mbele zaidi ya matumbo yenu.
Tatu, kama tu walivyo watanzania wengi wenye upeo finyu wanampenda kulalamika lalamika badala ya kutafuta ufumbuzi WA jambo....wewe ni miongoni wajinga ambao mnaipa serikali ya Samia freedom of accountability bila kujua.
Maana mnapo endelea kumlaumu Magufuli Kwa mambo yanayoendelea kwenye awamu hii, ambayo ni jukumu la serikali hii kukabiliana nayo mnawafanya Samia na washiriki wake wasisumbuke kutafuta sulululisho lolote maana wanajua lawama zote mtazipeleka Kwa Magufuli ambaye hayupo hivyo basi mnawapa mwanya wa wao kuwa wazembe... Ila Kwa akili ngando ulizonazo huwezi kuliona hili.
Mwisho, tafuta namna ujaribu kuondoa hizo chuki Kwa marehemu maana ni dhairi zinakutafuna na zinakuathiri afya yako ya ubongo.
Kwamba maendeleo ni kula Bata Nini?Maendeleo ni nini? For my side maendeleo ni pamoja na watu kula bada ambapo facilitator wa bata ni mshahara