ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Muda mwingine vitu km huvielewi bora ukae kimya ndio maana nakwambia nawasikitikia waliokupa ajira maana wametoa ajira kwa zero sifuri huna akiliHakuna aliyemaliza chuo kipindi cha jk aliyekosa ajira. Jk alikuwa ni mtu na nusu. Jpm ndo katengeza tatizo hilo kwa uwezo wake mdogo
Angalau walimu na ma Dr walipata ajiea enzi za JK ila mwendazake alidanganya ulimwengu eti Tanzania ma Dr wametosha hovyo kabisaHakuna aliyemaliza chuo kipindi cha jk aliyekosa ajira. Jk alikuwa ni mtu na nusu. Jpm ndo katengeza tatizo hilo kwa uwezo wake mdogo
Kwa jinsi ulovyoandika tu ni kama ngumbaru fulani ambaye hajafika hata standard five... No wonder una sound kama semi-illiterate fulani hivi kwanzia mwanzo wa bandiko lako mpaka hapa kwenye hii comment.Kwani wewe hapa duniani unafanya nini? Unaweza kuishi bila kula? Yaani unatala tumsifoe rais ambye katulaza njaa five years na kiteka na kuua kila anayempinga as if yeye hapingwi kabisa. Mungu ndo hapingwi peke yake
Maendeleo ni watu dogo. Siyo vitu. Ethiipia kuna miundo mbinu mpaka chooni lakink watua wanakamatwa kila siku wakikimbia nchi yao kwenda africa kusini kutafuta maisha.Kwa jinsi ulovyoandika tu ni kama ngumbaru fulani ambaye hajafika hata standard five... No wonder una sound kama semi-illiterate fulani hivi kwanzia mwanzo wa bandiko lako mpaka hapa kwenye hii comment.
Watu wa dizaini yako kipindi Cha serikali ya makaburu kule Africa kusini waliajiriwa kwenye mashamba ya makaburu Kwa ujira ufinyu uliowawezesha kuishi wao na familia zao, wakawa wanaona kama wameyapatia maisha kiasi Kwamba wakawa hadi wanawatetea makaburu dhidi ya wanaharakati weusi kama Steve Biko na Mandela.
Walifanya vile pasipo kuangalia kesho Yao na vizazi vyao vya watu weusi, mathalani tu walikuwa Wana uhakika WA kula na kunya basi wakaowaona weusi wenzao waliokuwa wanapigania freedom ni kama wasumbufu.
Sasa na wewe ndio wale wale, mathalani tu Sasa hivi umepata kaajira una uhakika WA kunywa bia mbili tatu kila weekend, basi huwezi ukawaza matatizo mengi yanayolikumbuka taifa hili ambayo yamesababishwa na serikali ya Samia.
-Huwezi ukawaza uonevu na ukatili waliofanyiwa wamasai WA Ngorongoro
-Huwezi ukawaza uzembe na ukiritimba uliokithiri mahospitalini ambao umekuwa chanzo Cha vifo vingi vinavyozuilika.
-Huwezi ukawaza wizi na ubadhirifu WA pesa za umma ambao umeongezeka awamu hii kuliko awamu zingine zote zilizopita.
-Huwezi ukawaza udalali unaofanywa na Samia kwenye rasimali zetu ambazo zinaliweka hatarini taifa Kwa siku za usoni.
-Huwezi ukawaza hata kukithiri Kwa matukio hatarishi mitaani kama mauaji na kutekana huku serikali ya Samia ikihusishwa.
Yaani unachowaza wewe ni kula Bata tu... Hakika upeo wako ni duni sana, na sijui hata huko shule ulienda kufanya nini
Teh.. teh, Kwa hiyo hapa wewe Ngumbaru unanifundisha Mimi kingereza nyau wewe??????Usipokula unakufa. This is simple logiic. Sema we umesoma kiswahili hata logic huelewi. Google it
Unapokula hufi. That was a lapse of the tongue dogoTeh.. teh, Kwa hiyo hapa wewe Ngumbaru unanifundisha Mimi kingereza nyau wewe??????
Shenzy kabisa!!
Kwa akili hizi lazima umuone Samia ni Mungu wako maana nje ya kuajiriwa huna ujanja wowote WA kukabiliana na njaa.
Watu mlioenda shule kujua mko wengi sana taifa hili na ndio mitaji ya wanasiasa mafisadi
Huna akili pia umri wako unatia shaka pia toto la 2000 hili ndio tatizoMaendeleo ni watu dogo. Siyo vitu. Ethiipia kuna miundo mbinu mpaka chooni lakink watua wanakamatwa kila siku wakikimbia nchi yao kwenda africa kusini kutafuta maisha.
Nawasikitikia utumishi kumbe wanatoa ajira kwa vichwa km hivi?Unapokula hufi. That was a lapse of the tongue dogo
Utabaki masikini daima!Thanks to Samia nimepata ajira juzi juzi tu
Nilifikiri una hoja kumbe ni chuki tuMagufuli hana jema hata moja. Jk is the best president of all presidents ever. Hakuna aliyemwaga ajira kama jk hapa tanzania
Rais mwenyewe ameajiriwa, wabunge wameajiriwa, mawaziri wameajiriwa. We una pesa kumzidi rais?Utabaki masikini daima!
Ulipisaini mkataba wa ajira ndio ulisaini mkataba wa umasikini.
Kwa kuwa wewe ni lipumbavu huwezi kuelewa hili
Ajira siyo hoja kwako? Bora watu wafe tuNilifikiri una hoja kumbe ni chuki tu
Wewe ni takataka
Wewe ni taahira.....Rais mwenyewe ameajiriwa, wabunge wameajiriwa, mawaziri wameajiriwa. We una pesa kumzidi rais?
Unamjua Ally Kibao au Olimbaka?Kwani wewe hapa duniani unafanya nini? Unaweza kuishi bila kula? Yaani unatala tumsifoe rais ambye katulaza njaa five years na kiteka na kuua kila anayempinga as if yeye hapingwi kabisa. Mungu ndo hapingwi peke yake
Ila jiwe alikuwa mjinga sana,kuna kipindi walitoa ajira afu majina yakawayanarudiwa ili idadi ionekane ni kubwaMagufuli hana jema hata moja. Jk is the best president of all presidents ever. Hakuna aliyemwaga ajira kama jk hapa tanzania
Hio mishahara si itakua inaishia kwenye kujitibu magonjwa tu na hakuna kitu watafanya na hyo mishahara yao…Hawa vijana WA kisasa hata usipowajengea zahanati kwenye vijiji vyao na kuwaboreshea huduma muhimu kama maji na umeme, ila ukiwapa uhakika WA mishaara watakuona wewe ni Mungu mtu.
Jpm kishajenga legacy ya kuua na kuonrkana kawaidaUnamjua Ally Kibao au Olimbaka?
Kwani Ulimboka na Mwangosi walipatwa matatizo Mwaka gani si 2012. Rais alikuwa nani?Jpm kishajenga legacy ya kuua na kuonrkana kawaida