Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
-
- #21
Utumikaji utachelewa si sana kwani ndio tunaviunda, tumeshaa za kuunda kiosk na sehemu kubwa kiasi (jalala dogo) ya kuchomea taka.Tunasubiri video tuone zoezi la utumikaji (demonstrate) likionesha.
Tutaweza sana tu utumia nyumbani. Mimi binafsi nimeanza leo kusetiwa alangu na kina mama wa darasa letu la ujenzi.Ila sasa nina swali kuhusu hayo mapipa ya uchafu kama yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na kuchomea uchafu ukikaribia kujaa?
Video clips inakuwa ngumu kupandisha hapa. Tutumie whatsapp 0625249605 utakutumia video clips .Utumikaji utachelewa si sana kwani ndio tunaviunda, tumeshaa za kuunda kiosk na sehemu kubwa kiasi (jalala dogo) ya kuchomea taka.
Utajionea baada ya siku mbili tatu.
Upo Bagamoyo au hiyo ni id tu JF?
Tunatafuta kijana wa data entry ambae pia tutampa jukumu la ku update mitandao ya kijamii.weka page yako ya insta tuone hizo picha
Sikumbuki mradi niliounzisha ambazo sijaumaliza. Naomba nikumbushe ni upi mmojawapo sijaumaliza?Sheikh Abdul tulia na mradi mmoja. Una mawazo mazuri sana. Ila huwa humalizi mradi mmoja unarukia mwingine.
Ulikuwa unapenda kuelewa kipi zaidi?Wazo zuri, ila maelezo hayajitoshelezi bado...
Usijali sana, ndivyo mitandao ya kijamii ilivyo. Wewe cha kutazama au kutaka kujua zaidi ni kile una interest nacho, ukianza kubishana hakutakuwa na mshindi, maneno hayaishi.Hii mada kuna mtu humu anajibu kwa jazba utadhani ana share ya project husika.
Mtoa mada ameshatoa tahariri yake, hivyo tunasubiri akipandisha picha/video.
Mnapatikana wapi kwa jijini Dar Es Salaam?.
Ikiwa unapenda kuona picha au unataka maelezo zaidi tutumie whatsAPP 0625249605 Tutakutumia, tunazo picha na video clips. Tunaona bora ututumie whatsapp kwa kuwa atuingii kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara lakini saa zote tutaziona msg zako ukitujulisha kwenye whatsapp.
Hujakosea, mimi ni kijana wa zamani, Ni Mzee sasa hivi lakini sijastaafu. AlhamduliLlah. Ngoja nitazame post namba moja kama hakuna contacts niziweke.Safi sana kijana. Hii naipeleka kwa mkuu wa mkoa moja kwa moja. Ila mbona hamjaweka contacts zenu. Na je mna business profile.
?
Soma vizuri post-namba Moja zipo contacts zetu, na hapa nakuwekea tena.Safi sana kijana. Hii naipeleka kwa mkuu wa mkoa moja kwa moja. Ila mbona hamjaweka contacts zenu. Na je mna business profile.
?
Kwa ataependa kuona picha au kutaka maelezo zaidi atutumie whatsApp 0625249605 Tutamtumia, tunazo picha na video clips.Tangazo gani halina picha watu wakaona unachokiongea?
Ikiwa unapenda kuona picha au unataka maelezo zaidi tutumie whatsAPP 0625249605 Tutakutumia, tunazo picha na video clips. Tunaona bora ututumie whatsapp kwa kuwa atuingii kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara lakini saa zote tutaziona msg zako ukitujulisha kwenye whatsapp.picha
Of course, share tunayo hapo, kila Muislam, hujaona kuwa ni wazee wa Madrassa? Unafikiri zinajinedesha zenyewe?Hii mada kuna mtu humu anajibu kwa jazba utadhani ana share ya project husika.
Mtoa mada ameshatoa tahariri yake, hivyo tunasubiri akipandisha picha/video.
Dadangu hii ni biashara, ukianza kuleta uislam basi itabidi mnunue wenyewe tu. Just relax biashara ifanyike bila udini.Of course, share tunayo hapo, kila Muislam, hujaona kuwa ni wazee wa Madrassa? Unafikiri zinajinedesha zenyewe?
Shida yk ndiyo hiyoDadangu hii ni biashara, ukianza kuleta uislam basi itabidi mnunue wenyewe tu. Just relax biashara ifanyike bila udini.
Pia wanajiuliza picha ulikuwa unawajibu kwa jazba sana lakini mleta mada ameonyesha ukomavu kidogo hiyo ndivyo biashara hufanyika, ukianza kuweka personal feelings kidogo inaleta shida.
Biashara ni nzuri usiiharibu wacha tuangalie hiyo teknolojia then tufanye biashara nao, yawezekana kwako Ina personal attachment Ila wengine tunakuwa tumependa tu hiyo teknolojia na hatuweki udini Wala anything else.