Tangazo gani halina picha watu wakaona unachokiongea?
Namna gani zinabebeka na kuhamishika? Nimependa hizo tofali hasa kama mtu unataka kujenga tenki la kuhifadhia maji.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Zinabebeka na kina mama wawili. Ni nzito kweli, na ni kweli kabisa moja ya kazi yake ni kujenga tank za maji la zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu kabisa.
Kwa gharama nafuu simaanishi kuwa ni bei ndogo, hapana. Namaanisha wepesi wake wa kuongeza ukubwa wa tank kidogo kidogo, si lazima uwe na pesa nyingi kwa wakati mmoja. IUnaweza kuanza na tofari kozi moja ukapata tank lenye kina cha robo mita, siku za usoni, mfuko ukikaa vizuri ukaongeza kozi nyingine na nyingine na nyingine, mpaka kina cha mita mbili (kozi nane).
Hizo tofari zina kazi nyingi sana sana, paamoja na:
-Tank za kuhifadhi maji safi juu ya ardhi na chini ya ardhi.
-Tank za za kuhifadhi maji taka (cesspit tank).
-Tank za kutengenezea bio gas kwa mbolea mbichi ya ng'ombe.-Tank za kuchenjulia dhahabu, kwa wale wanaochenjua dhahabu watanielewa.
-Pia zinaweza kuwa vyumba vya kulala staili ya msonge wa juu na chini (ghorofa).
- Viosk vya biashara
- Stand za kuzuwia mvua na jua vituo vya mabasi (vinaweza kuwa nusu mduara. Vyenyewe vinakua pia ni benchi za kukalia.
- zinawezaa kuwa swimming pools kuanzia za watoto nyumbani mpaka za wakubwa kwa kuweka vina na ukubwa wa mzunguko tofauti.
- Zinaweza kuwa mabwa ya kufugia samaki.
- Zinaweza kuwa mabwayya bata.
- zinaweza kuwa (kwa gharama ndogo sana ya ziada) jacuzzi na au whirlpool birth za nje au ndani ya nyumba.
- kwa kuongeza gharama kidogo ya ziada zinaweza kuwa sauna rooms.
Pia kama una wattoto walioanza kutambaa zinaweza kuwa uzio wao wa kuchezea nje ya nyumba, ukiwajazia michezo yao humo hawatoki. Salama kabisa.
Matumizi yake hizo ni ubunifu wa mtumiaji tu.
Abdul: 0625249605
-