joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakati Tanzania tulipoanza kujenga umoja wa kitaifa na kupambana na ukabila, tulijua wazi kwamba bila kuwa na umoja wa kitaifa haiwezikani Kuwepo na utulivu ma maendeleo ya kudumu.
Kenya ni bomu linalosubiri muda wake ili lilipuke, kilichotokea PEV 2007 ni moshi tu, kwa mwendo huu, kuna kitu kikubwa Zaidi kinakuja, hasa baada ya Kenya kushindwa kuwakamata na kuwapa adhabu kale wote waliohusika na mauaji Yale.