Kuhusu tuhuma za kuwa Ikulu ya Kenya yatoa amri kuwa kila mkenya anapaswa kuishi alipotoka; Kalenjis wanataka Uhuru asikanyage kwao

Kuhusu tuhuma za kuwa Ikulu ya Kenya yatoa amri kuwa kila mkenya anapaswa kuishi alipotoka; Kalenjis wanataka Uhuru asikanyage kwao

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Wakati Tanzania tulipoanza kujenga umoja wa kitaifa na kupambana na ukabila, tulijua wazi kwamba bila kuwa na umoja wa kitaifa haiwezikani Kuwepo na utulivu ma maendeleo ya kudumu.

Kenya ni bomu linalosubiri muda wake ili lilipuke, kilichotokea PEV 2007 ni moshi tu, kwa mwendo huu, kuna kitu kikubwa Zaidi kinakuja, hasa baada ya Kenya kushindwa kuwakamata na kuwapa adhabu kale wote waliohusika na mauaji Yale.
 
He he, sii sii emu agents hard at work.... Endelea ivo ivo, tia bidii
 
We jamaa sijui hata Kenya ilikufanya nini. Hivi una multiple ID ambayo nyingine ni ya kule majukwaa ya TZ au wewe task yako ni kupambana na Kenya left and right.

BTW unaongelea ukabila wa Kenya wakati hapa tuna ukanda na watu wa kanda flani wanasomeshwa namba na kwenye safu za uongozi sura zao hazitakiwi kuonekana..

Watu wa kabila lake tu ndio wanajazwa kila mahali, hilo hulioni unaliona la Kenya tu.
 
Hahaha! 😀 Hizi ndio athari za kukomalia kwenye vijiwe vya kahawa Manzese. Unajaribu sana, ila IQ yako inakukwaza.
 
Acha matusi Kaka,sijui nimekukosea vipi...
Tatizo lenu ni kwamba, ningetumia kiingereza na nikakisea, msingekubali kwamba ni makosa ya kiuandishi, mngesema sijui kiingereza, lakini kiswahili hamsemi sijui kiswahili, mnadhani hatuwezi kukosa ktk Kiswahili?
 
Ikikaribiaga uchaguzi file la ukabila huchomolewa kwa shelf maana ni muhimu katika kupanga safu ya serikali ijayo! Hili mwanzo, mengi yaja! Imagine unaambia largest land owner in Kenya asikanyage Rift Valley province yet he has been all along busy trying to connect his land with SGR in an attempt to move all cargo from Mombasa to inland ports located in a land he owns! This is war in making!
 
We jamaa sijui hata Kenya ilikufanya nini. Hivi una multiple ID ambayo nyingine ni ya kule majukwaa ya TZ au wewe task yako ni kupambana na Kenya left and right.

BTW unaongelea ukabila wa Kenya wakati hapa tuna ukanda na watu wa kanda flani wanasomeshwa namba na kwenye safu za uongozi sura zao hazitakiwi kuonekana..

Watu wa kabila lake tu ndio wanajazwa kila mahali, hilo hulioni unaliona la Kenya tu.
Huo ukanda unauona peke yako!
Inasikitisha sana kuwa na Mtanzania kama wewe usiyejielewa.
 
Ikikaribiaga uchaguzi file la ukabila huchomolewa kwa shelf maana ni muhimu katika kupanga safu ya serikali ijayo! Hili mwanzo, mengi yaja! Imagine unaambia largest land owner in Kenya asikanyage Rift Valley province yet he has been all along busy trying to connect his land with SGR in an attempt to move all cargo from Mombasa to inland ports located in a land he owns! This is war in making!
2017 ulisema kwamba wakenya watauana, kuna nyuzi zako nyingi humu. 2013 pia ulisema hivyo hivyo. Ila aibu ilikuwa kwako, leo hii hata aliyejiapisha kama rais yupo tu, wakati kwenu kila kitu kimerudi reverse. Wapinzani wanapigwa risasi na kuuawa, uhuru wao umebanwa, wanahabari hawajui kama kesho watakuwa hai. Ebu angazia macho uchaguzi wenu wa 2020, uchaguzi Kenya utakuwa mwaka wa 2022.
 
Hahaha! 😀 Hizi ndio athari za kukomalia kwenye vijiwe vya kahawa Manzese. Unajaribu sana, ila IQ yako inakukwaza.
Wakati tunaanza kujenga nchi kwa kuweka msingi imara wa kupiga vita ukabila na kuleta umoja wa kitaifa, ninyi mlikua busy kujenga viwanda vya Colgate, Kiwi na Majumba marefu, hamkujua kwamba hivyo ni vitu vinavyoweza kujengwa wakati wowote,, ila ukabila ukishajengeka haiwezikani kuumaliza?
 
2017 ulisema kwamba wakenya watauana, kuna nyuzi zako nyingi humu. 2013 pia ulisema hivyo hivyo. Ila aibu ilikuwa kwako, leo hii hata aliyejiapisha kama rais yupo tu, wakati kwenu kila kitu kimerudi reverse. Wapinzani wanapigwa risasi na kuuawa, uhuru wao umebanwa, wanahabari hawajui kama kesho watakuwa hai. Ebu angazia macho uchaguzi wenu wa 2020, uchaguzi Kenya utakuwa mwaka wa 2022.
Kenya hakuna uchaguzi unaofanyika bila watu kuuliwa, 2017 zaidi ya Jaluo 67 wakiwemo watoto waliuliwa, au kwasababu ni Jaluo ndio unasema hapakuwepo mauaji?, kabla ya uchaguzi unakumbuka kisa cha Msando?.

Tatizo Kenya watu kuuliwa ktk kipindi cha uchaguzi ni jambo la kawaida, kama waliouliwa ni chini ya 500 kwenu hiyo mnaita uchaguzi ulikua wa amani, Tanzania akifa hata mtu mmoja ni "Breaking News"
 
Kenya hakuna uchaguzi unaofanyika bila watu kuuliwa, 2017 zaidi ya Jaluo 67 wakiwemo watoto waliuliwa, au kwasababu ni Jaluo ndio unasema hapakuwepo mauaji?, kabla. Tatizo Kenya watu kuuliwa ktk kipindi cha uchaguzi Tanzania akifa hata mtu mmoja ni "Breaking News"

Wakati tunaanza kujenga nchi kwa kuweka msingi imara wa kupiga vita ukabila na kuleta umoja wa kitaifa, ninyi mlikua busy kujenga viwanda vya Colgate, Kiwi na Majumba marefu, hamkujua kwamba ila ukabila ukishajengeka haiwezikani kuumaliza?
Unatumia nguvu nyingi sana kuhalalisha uzi wako wa kipimbi. Ila kwa sasa Kenya hatuna la kujifunza kutoka kwa Tz na uongozi wake wa kidikteta. Mlijichafua wenyewe, tangu 2015, mlivoanza kuuana na kupotezana kwasababu ya siasa. Ila nimependa ulivokiri kwamba ujamaa ulikuwa mfumo wa kimasikini na ndio unawatafuna na kuwakwaza hadi leo hii.
 
Back
Top Bottom