joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nani mwenye propaganda, hao wakenya wenzako ambao wanasoma hadharani barua toka Ikulu au ni mimi?. Shida zenu za ukabila msianze kulaumu watu wengine.Propaganda from a low IQ scoundrel! Grow up old man!
Typing errorNtakuripoti ukizidi
Acha matusi Kaka,sijui nimekukosea vipi...Typing error
Sorry bro.Acha matusi Kaka,sijui nimekukosea vipi...
Tatizo lenu ni kwamba, ningetumia kiingereza na nikakisea, msingekubali kwamba ni makosa ya kiuandishi, mngesema sijui kiingereza, lakini kiswahili hamsemi sijui kiswahili, mnadhani hatuwezi kukosa ktk Kiswahili?Acha matusi Kaka,sijui nimekukosea vipi...
Huo ukanda unauona peke yako!We jamaa sijui hata Kenya ilikufanya nini. Hivi una multiple ID ambayo nyingine ni ya kule majukwaa ya TZ au wewe task yako ni kupambana na Kenya left and right.
BTW unaongelea ukabila wa Kenya wakati hapa tuna ukanda na watu wa kanda flani wanasomeshwa namba na kwenye safu za uongozi sura zao hazitakiwi kuonekana..
Watu wa kabila lake tu ndio wanajazwa kila mahali, hilo hulioni unaliona la Kenya tu.
Ni jukumu la Ikulu ya Kenya kukanusha hadharani.Kuna udhibitisho hiyo barua imetoka ikulu Mzee??
Hahaa! [emoji1] Kuna watu wa ajabu sana humu, blame low IQ. Alafu anadhani wakenya tunaishi kwa amri kutoka ikulu, yaani hata kichwa cha taarifa tu ni cha kimagumashi.Kuna udhibitisho hiyo barua imetoka ikulu Mzee??
2017 ulisema kwamba wakenya watauana, kuna nyuzi zako nyingi humu. 2013 pia ulisema hivyo hivyo. Ila aibu ilikuwa kwako, leo hii hata aliyejiapisha kama rais yupo tu, wakati kwenu kila kitu kimerudi reverse. Wapinzani wanapigwa risasi na kuuawa, uhuru wao umebanwa, wanahabari hawajui kama kesho watakuwa hai. Ebu angazia macho uchaguzi wenu wa 2020, uchaguzi Kenya utakuwa mwaka wa 2022.Ikikaribiaga uchaguzi file la ukabila huchomolewa kwa shelf maana ni muhimu katika kupanga safu ya serikali ijayo! Hili mwanzo, mengi yaja! Imagine unaambia largest land owner in Kenya asikanyage Rift Valley province yet he has been all along busy trying to connect his land with SGR in an attempt to move all cargo from Mombasa to inland ports located in a land he owns! This is war in making!
Wakati tunaanza kujenga nchi kwa kuweka msingi imara wa kupiga vita ukabila na kuleta umoja wa kitaifa, ninyi mlikua busy kujenga viwanda vya Colgate, Kiwi na Majumba marefu, hamkujua kwamba hivyo ni vitu vinavyoweza kujengwa wakati wowote,, ila ukabila ukishajengeka haiwezikani kuumaliza?Hahaha! 😀 Hizi ndio athari za kukomalia kwenye vijiwe vya kahawa Manzese. Unajaribu sana, ila IQ yako inakukwaza.
Kenya hakuna uchaguzi unaofanyika bila watu kuuliwa, 2017 zaidi ya Jaluo 67 wakiwemo watoto waliuliwa, au kwasababu ni Jaluo ndio unasema hapakuwepo mauaji?, kabla ya uchaguzi unakumbuka kisa cha Msando?.2017 ulisema kwamba wakenya watauana, kuna nyuzi zako nyingi humu. 2013 pia ulisema hivyo hivyo. Ila aibu ilikuwa kwako, leo hii hata aliyejiapisha kama rais yupo tu, wakati kwenu kila kitu kimerudi reverse. Wapinzani wanapigwa risasi na kuuawa, uhuru wao umebanwa, wanahabari hawajui kama kesho watakuwa hai. Ebu angazia macho uchaguzi wenu wa 2020, uchaguzi Kenya utakuwa mwaka wa 2022.
Unaachaje kuuona ukanda wa Tanzania ila unauona ukabila wa Kenya?Huo ukanda unauona peke yako!
Inasikitisha sana kuwa na Mtanzania kama wewe usiyejielewa.
Kenya hakuna uchaguzi unaofanyika bila watu kuuliwa, 2017 zaidi ya Jaluo 67 wakiwemo watoto waliuliwa, au kwasababu ni Jaluo ndio unasema hapakuwepo mauaji?, kabla. Tatizo Kenya watu kuuliwa ktk kipindi cha uchaguzi Tanzania akifa hata mtu mmoja ni "Breaking News"
Unatumia nguvu nyingi sana kuhalalisha uzi wako wa kipimbi. Ila kwa sasa Kenya hatuna la kujifunza kutoka kwa Tz na uongozi wake wa kidikteta. Mlijichafua wenyewe, tangu 2015, mlivoanza kuuana na kupotezana kwasababu ya siasa. Ila nimependa ulivokiri kwamba ujamaa ulikuwa mfumo wa kimasikini na ndio unawatafuna na kuwakwaza hadi leo hii.Wakati tunaanza kujenga nchi kwa kuweka msingi imara wa kupiga vita ukabila na kuleta umoja wa kitaifa, ninyi mlikua busy kujenga viwanda vya Colgate, Kiwi na Majumba marefu, hamkujua kwamba ila ukabila ukishajengeka haiwezikani kuumaliza?