Kuhusu tuhuma za kuwa Ikulu ya Kenya yatoa amri kuwa kila mkenya anapaswa kuishi alipotoka; Kalenjis wanataka Uhuru asikanyage kwao

We jamaa sijui hata Kenya ilikufanya nini. Hivi una multiple ID ambayo nyingine ni ya kule majukwaa ya TZ au wewe task yako ni kupambana na Kenya left and right.

BTW unaongelea ukabila wa Kenya wakati hapa tuna ukanda na watu wa kanda flani wanasomeshwa namba na kwenye safu za uongozi sura zao hazitakiwi kuonekana..

Watu wa kabila lake tu ndio wanajazwa kila mahali, hilo hulioni unaliona la Kenya tu.
Prove
 
Wakati Tanzania tulipoanza kujenga umoja wa kitaifa na kupambana na ukabila, tulijua wazi kwamba bila kuwa na umoja wa kitaifa haiwezikani Kuwepo na utulivu ma maendeleo ya kudumu.

Kenya ni bomu linalosubiri muda wake ili lilipuke, kilichotokea PEV 2007 ni moshi tu, kwa mwendo huu, kuna kitu kikubwa Zaidi kinakuja, hasa baada ya Kenya kushindwa kuwakamata na kuwapa adhabu kale wote waliohusika na mauaji Yale.
Utaomba sana, mpka ile siku dunia itaisha...
2013 mliangukia pua, 2017 vile vile..

Mliondoa ukabila mkatengeneza kabila moja kuu, ccm..yani km wewe ni mpinzani utapata tabu sana, unapigwa risasi, mapanga na hamna kitu
 
Unatumia nguvu nyingi sana kuhalalisha uzi wako wa kipimbi. Ila kwa sasa Kenya hatuna la kujifunza kutoka kwa Tz na uongozi wake wa kidikteta. Mlijichafua wenyewe, tangu 2015, mlivoanza kuuana na kupotezana kwasababu ya siasa. Ila nimependa ulivokiri kwamba ujamaa ulikuwa mfumo wa kimasikini na ndio unawatafuna na kuwakwaza hadi leo hii.
Hatuna ukabila, tuna amani tele ni nchi ya 7 Afrika na 54 duniani kwa amani, hatuna njaa wala slums. Sasa ukabila ndio unazidi kuwatafuta, Uhuru hawezi kwenda kwa wajaluo bila kusindikizwa na Raila, sasa Kalenjin wanasema asikanyage kwao. Failed state
 
2017 wewe mwenyewe ulisema itakuwa noma kuliko 2007 Kisha ukaangukia pua. Unataka kuangukia pua Tena na 2022?

Meanwhile in Tz kila elections mambo yanizidi kuwa noma and for the first time we are witnessing violence against the opposition...it is just a matter of time before kanuke/kuharibia so msipo Soma na Kenya au Rwanda you guys will be a lesson to the World...mark you Mya words joto la jiwe
Hahahaha, endeleeni kusubiri, ukabila na ubepari ndio sababu ya matatizo ya Kenya, "we have none of them"
 
Unatumia nguvu nyingi sana kuhalalisha uzi wako wa kipimbi. Ila kwa sasa Kenya hatuna la kujifunza kutoka kwa Tz na uongozi wake wa kidikteta. Mlijichafua wenyewe, tangu 2015, mlivoanza kuuana na kupotezana kwasababu ya siasa. Ila nimependa ulivokiri kwamba ujamaa ulikuwa mfumo wa kimasikini na ndio unawatafuna na kuwakwaza hadi leo hii.
Hamna la kujifunza kwasababu mumezoea kuuana
 
Utaomba sana, mpka ile siku dunia itaisha...
2013 mliangukia pua, 2017 vile vile..

Mliondoa ukabila mkatengeneza kabila moja kuu, ccm..yani km wewe ni mpinzani utapata tabu sana, unapigwa risasi, mapanga na hamna kitu
Kwahiyo in 2017 uchaguzi Kenya ulikua Peacefu?, hahahaha
 
Heheeee!!maombi yenu yamepigwa chini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtaomba sana yatokee km yale yaliyotokea 2007 lkn bado mnaangukia pua..

Kila uchaguzi wakenya huchinjana mapanga...
2013 na 2017 sikuona watu wakichinjana..omba 2022 labda mara hii dua yako itapokelewa na ndoto zako pia kutimia..
Watu labda watachinjana kinoma
Kwahiyo in 2017 uchaguzi Kenya ulikua Peacefu?, hahahaha
 
Heheeee!!maombi yenu yamepigwa chini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtaomba sana yatokee km yale yaliyotokea 2007 lkn bado mnaangukia pua..
Kwahiyo kwasababu hawakufa watu 2000, badala yake wamekufa watu 67 hiyo kwenu ni ushindi wa kujivunia?, amakweli ninyi ni failed state.
 
Nani alishika panga na kumuua mwenzake...km ulivyoomba, lkn umeangukia pua...
Omba tena uchaguzi ujao

Hooo wakenya huchinjana mapanga kila uchaguzi..

Past tense
 
2017 wewe mwenyewe ulisema itakuwa noma kuliko 2007 Kisha ukaangukia pua. Unataka kuangukia pua Tena na 2022?

Meanwhile in Tz kila elections mambo yanizidi kuwa noma and for the first time we are witnessing violence against the opposition...it is just a matter of time before kanuke/kuharibia so msipo Soma na Kenya au Rwanda you guys will be a lesson to the World...mark you Mya words joto la jiwe

Aha hha
Wishes
😛😝
 
Nani alishika panga na kumuua mwenzake...km ulivyoomba, lkn umeangukia pua...
Omba tena uchaguzi ujao
Hooo wakenya huchinjana mapanga kila uchaguzi..

Past tense
Mwaka 2017 wajaluo 67 waliuliwa kwa risasi za serikali ambazo hununuliwa na kodi zao wenyewe. Kwahiyo kwasababu hawa kuuliwa kwa panga wewe kwako ni ushindi?
 
Huhuuuu!!uko na ushahidi km waliokufa wote wajaluo?

Anyway.."kila uchaguzi wakenya huchinjana"
Hii kauli umeisahau kwn?
Mwaka 2017 wajaluo 67 waliuliwa kwa risasi za serikali ambazo hununuliwa na kodi zao wenyewe. Kwahiyo kwasababu hawa kuuliwa kwa panga wewe kwako ni ushindi?
Yale ni maandamano ya kupinga uchaguzi, tayari polisi wengine walishatiwa hatiani..tanzania mtasubiri sana kufikia hku...

Polisi bongo akikamatwa basi ujue kabaka..
 
Aha hha
Wishes
😛😝
They are not wishes rather things that are currently happening on the ground. I have never seen political opponents of the current regime/ CCM unleash violence ever but of late it is becoming a norm. You cannot deny these incidents unless you are deep into CCM **s
 
Bro Tanzania has no base for swording one another. Hata vyama watu huhama. Lakini siyo ukabila.
 
Back
Top Bottom