Kuhusu UDOM

Kuhusu UDOM

Vipi kuhusu college of informatic naombeni ada yao na jinsi kujua hapo kwa informatic ni vipi
 
Bima imejumuishwa kwenye direct cost soma vzur huko juu kuna maelezo zaid

Utaratibu uliopo ukiwa na bima kama ya NHIF hutohitajika kulipia tena cost ya matibabu ndivyo ilivyo sehemu zote
 
Kama ni masters accomodation ni 980000 tu kwa mwaka .
 
Katika suala la malipo hasa ya michango ( direct cost) mwanachuo anahitajika kulipa michango yote ambayo ni sh.282,500.

Ili kueusha usumbufu usiokuwa Wa lazima ni vyema mwanachuo akalipia michango yote kwani ukifika tu kitu cha kwanza watakuhitaji upande kwenye sehemu husika ya usajili ukiwa umelipa kiwango tajwa.

Kuhusiana na malipo ya ada (tuition fee) utalipa kulingana na kiwango cha mkopo ulichopata...nikiwa na maana kwamba umepata asilimia ngapi..kama haujafaham jinsi ya kukokotoa mkopo wako mchanganuo hutolewa pindi mnapofika pale chuoni.

Kwa ujumla mazingira ni ya kawaida na yanakuruhusu kusoma (kwa wale Wa education) changamoto ni chache tu hasa upatikanaji Wa maji ambao ni kwa asilimia 80 kama alivyochangia mdau hapo juu..

Kuhusu suala la kulipa nusu bado haijulikan kama wataukubali huo mfumo japo walisema unaweza kutumika ila kwa mwanachuo ambae atachelewa kulipia michango yake matokeo yake huendelea kushikiliwa mpaka pale atakapokamilisha michango yote..!!

Hongereni na karibun UDOM..!!

Mkuu kuna mdogo Wangu amepata college of health direct cost ni 303,500 lakin kwa sababu anabima hajalipia ile laki ya medical, je itaathir au watamzengua registration? I mean kalipa 203,500 badala ya 303,500 cuz ana bima ya afya
 
Mkuu kuna mdogo Wangu amepata college of health direct cost ni 303,500 lakin kwa sababu anabima hajalipia ile laki ya medical, je itaathir au watamzengua registration? I mean kalipa 203,500 badala ya 303,500 cuz ana bima ya afya

Hapa kaishachanganya ma fail hata kama una bima kuna hela unatakiwa ulipe kama 40600
 
Kitu ambacho ningependa kuongezea ni kwamba kwa wale ambao wana Bima za afya usilipe pesa yote ya bima Bali unatakiwa ulipe nusu ya pesa hiyo ya bima kama alivyoelekeza Mkuu hapo juu kwa college yoyote ile uliyochaguliwa.

Kumbuka kuja na hiyo bima yako pindi unaporipoti chuo..

Usisahau Vilevile kuja na ile call for admission letter maana wakati Wa registration hasa College of Edc huwa wanahitaji uwe nayo .. Usisahau kuwa na nakala/copy 3 kwa kila form ulizonazo..picha za passport pia uwe nazo za kutosha ili kuepusha usumbufu maana kila sehem ina magumu yake yanayokuwa yanajitokeza..

Mbarikiwe..!!!
 
Nilikosa mkopo mara ya kwanza nikakopa na kulipa ada nusu na direct cost yote na sasa nimeona jina langu kuwa nimepata mkopo je naweza kurejeshewa hela yangu niliyolipa?
 
Back
Top Bottom