Kuna engine / vichwa vya treni vilikuwa bandarini na serikali ikadanganya kwamba havina mwenyewe.
Vichwa vya treni ni mitambo ya thamani kubwa sana na mara nyingi kama sio zote huundwa kwa mikataba maalum.
Haiyumkiniki kukawa na vichwa vya treni visivyokuwa na mwenyewe, au vichwa vya treni vikaletwa hapa Tanzania bila ya serikali kuwa imeviagiza.
Ukiacha ukweli huo hapo juu, muandishi wa habari Ndimara Tegambwage aliweza kufuatilia suala hilo na kuandika makala inayothibitisha kuwa serikali ya Tanzania ndio iliyoagiza vichwa hivyo vya treni.
Jambo la kusikitisha na Prof. Mbarawa kushikilia propaganda kwamba vichwa vya treni vilikuwa havina mwenyewe. Vilevile yuko bwana mmoja wa Takukuru alihojiwa ktk TV na aliendelea kusema uongo kuhusu suala hilo.
Kwa maoni yangu Prof. Mbarawa anapaswa kujitokeza na kutubu kwa kuudanganya umma kuhusu engine/ vichwa vya treni vilivyokuwa bandarini DSM.