Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Hapana, hakuna kifungu chochote katika Katiba ya sasa kinachowalinda wahalifu. Chama tawala, CCM, kiliamua toka siku nyingi kutoiheshimu Katiba ya nchi na hata ikija Katiba mpya bado wanaweza kuamua kutoiheshimu.Hawa matapeli wanalindwa na hii katiba mbovu
Hakuna kiongozi hata moja wa CCM angepona kama Katiba ingeheshimiwa kwani wote ni wahalifu! Hivi sasa ni mwenye nguvu mpishe na hii imechangiwa na woga walio nao Watanzania katika kudai utawala unaozingatia sheria