M mhogoz JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 1,428 Reaction score 2,414 Apr 3, 2025 #1 Ni akina nani Huwa wanakagua makampuni ya kubeti nchini ili kuhakikisha hakuna utapeli kwa wananchi? Je Kuna mfumo wowote imara wakufanya auditing ya mifumo inayotumika kwenye michezo husika ya kubahatusha?
Ni akina nani Huwa wanakagua makampuni ya kubeti nchini ili kuhakikisha hakuna utapeli kwa wananchi? Je Kuna mfumo wowote imara wakufanya auditing ya mifumo inayotumika kwenye michezo husika ya kubahatusha?
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,205 Reaction score 54,699 Apr 3, 2025 #2 Mcheza kamari akiliwa sana lazima awaze maswali magumu kama haya ππ
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,749 Reaction score 62,766 Apr 3, 2025 #3 Shing Yui said: Mcheza kamari akiliwa sana lazima awaze maswali magumu kama haya ππ Click to expand... haH
Shing Yui said: Mcheza kamari akiliwa sana lazima awaze maswali magumu kama haya ππ Click to expand... haH
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,763 Reaction score 22,998 Apr 3, 2025 #4 GBT | Gaming Board Of Tanzania - Home Gaming Board Of Tanzania | Bodi ya Michezo ya Kubashiri Tanzania www.gamingboard.go.tz
GBT | Gaming Board Of Tanzania - Home Gaming Board Of Tanzania | Bodi ya Michezo ya Kubashiri Tanzania www.gamingboard.go.tz