Wanatakiwa wale kimyakimya wasifanye hadaaAloshiba hamjui mwenye njaa.
Wala hawashibi maana kilasiku wanasema hali ngumu na wanaonekana kutoridhikaAloshiba hamjui mwenye njaa.
Wewe unayejua sema basiKama mpaka leo kama kiongozi hujajua kama tatizo kubwa ni nani bora kunyamaza kuliko kuongea kauli kama hizo kama kiongozi mwandamizi nchini.
Kashangae ferry,taja nini kinasababisha badala ya kushangaa shangaa barabarani kama mwehuAsubuhi Leo Nikiposikia Nilishangaa Sana
Ndugu yangu atakaye ingiamo na mlaani.Siasa yetu ndo laana yetu.
Pole SanaKashangae ferry,taja nini kinasababisha badala ya kushangaa shangaa barabarani kama mwehu
Mfano wewe ume plan kutoa ajira kiasi gani kwa ndugu zako au umetoa ngapi? Ajira ziko aina mbili private na publicFailure to plan is plan to failure.
Nmecheka sana jana.Habari za asubuhi wanajukwaa.
Nikisikiliza habari za magazetini leo nimesikia eti makamu wa Rais Dk. Mpango amewataka wanaofanya utafiti watafiti tatizo la ajira kwa vijana limeanzia wapi.
Kama mpaka leo kama kiongozi hujajua kama tatizo kubwa ni nani bora kunyamaza kuliko kuongea kauli kama hizo kama kiongozi mwandamizi nchini.
Pia eti anashangaa vijana kuchukua mashangazi. Mzee Mpango hotuba uliandaliwa au ulitoa kichwani?
Kwaufupi namshauri mzee asizungumzie suala la ukosefu wa ajira. Labda zaidi aishauri serikali isizalishe baadhi ya wataalam maana wamejaa kibao mtaani na ajira hamtoi.
Mfano wewe ume plan kutoa ajira kiasi gani kwa ndugu zako au umetoa ngapi? Ajira ziko aina mbili private na public
Wewe kama private umetoa ngapi?
Kisababishi kimojawapo cha tatizo la ajira ni watoto wa wafanyabiashara wa kiswahili kuomba kazi serikalini badala ya kuwa kwenye biashara za wazazi wao kama ilivyo kwa wahindi na waarabu