- Thread starter
- #41
Nchi hii ukijidogosha ni wewe tu. Usijiweke kwenye kundi la unyongeSasa kama hujasoma unàtaka ufanye shughuli gàni?
Kama Ndugu au Mtoto yako Kasoma uhasibu na unakampuni utaacha kumuajiri awe mhasibu kama anataka Kazi?
Alafu hizô Kazi za kufua nguo au udereva aliyekuambia siô Kazi ni Nani?
Nani amekuambia siô Kazi muhimu?
Una Fikra potofu.
Hata mabodaboda wanaitwa maafisa usaforishaji