Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania

Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania

Wajitafiti kwanza wenyewe kwa nini wameng'ang'ania kwenye madaraka kama gundi na hawataki kuachia madaraka?kwani hawajui kuwa kukubali kuachia madaraka nako nikutoa ajira kwa watu wengi?.
Kweli apishe mwingine hapo asitake kuajiriwa peke yake😂😂😂
 
Habari za asubuhi wanajukwaa.

Nikisikiliza habari za magazetini leo nimesikia eti makamu wa Rais Dk. Mpango amewataka wanaofanya utafiti watafiti tatizo la ajira kwa vijana limeanzia wapi.

Kama mpaka leo kama kiongozi hujajua kama tatizo kubwa ni nani bora kunyamaza kuliko kuongea kauli kama hizo kama kiongozi mwandamizi nchini.

Pia eti anashangaa vijana kuchukua mashangazi. Mzee Mpango hotuba uliandaliwa au ulitoa kichwani?

Kwaufupi namshauri mzee asizungumzie suala la ukosefu wa ajira. Labda zaidi aishauri serikali isizalishe baadhi ya wataalam maana wamejaa kibao mtaani na ajira hamtoi.

Hawa wazee wamesha shiba sana...
 
Duh aisee.

Leo hii unauliza raia wametoa ajira ngapi?
Kazi ya Serikali ni nini sasa?
Binafsi nina mashamba nimeajili watu wengi huko na kwenye mzunguko wangu nimebeba watu wa kutosha.

Serikali ndio muajiri mkuu na mtunga sera mkuu zinazotoa mustakabali wa taifa, Sera nzuri zitaleta ajira zakutosha na sera mbovu matokeo yake ndio haya.
Eti hata bodaboda ni ajira
 
Siô Kîla Mtoto wa mfanyabiashara anataka kuwa mfanyabiashara. Wengine wanapenda shughuli zingine za uzalishaji
Uongo wazazi wa kiswahili kutowashirikisha kwenye biashara toka wadogo ndio huwafanya wasiwe na interest

Wahindi,Waarabu na wapemba mbona wameweza kuwafanya watoto wao wapende biashara wanazofanya wazazi

Usijifiche nyuma ya passion ya mtoto uongo
Waswahili biashara ni kama uchawi hawashirikishi mke wala mtoto
 
Siô Kîla mhindi au muarabu NI mfanyabiashara.

Wàpo wahindi wameajiriwa na wàpo waarabu wameajiriwa.
Kûna makampuni kibao ya kihindi na kiarabu àmbayo ukifika utakuta waarabu na wahindi wameajiriwa .

Nenda Kampuni la Arabs Contractors Kutoka Misri utawaona Waarabu wengi walioajiriwa.
Nenda viwandani Kule Mikocheni utaona wahindi walioajiriwa.

Wahindi na waarabu siô kwamba hawapendi kuajiriwa kwèñye shughuli za umma yàani serikali ni ila wanajua waswahili wengi ni wabaguzi na wataona kama wananyanyaswa.

Acha dhana potofu
 
Somijasema hawaajiriwi wanaajiriwa kwenye family business zao

Kampuni,kiwanda au biashara ya muhindi au Mwarabu lazima wajae wao ni family business yao
Ila kama wewe inabidi tu uajiriwe tu sababu family wanakuwa hoi uwezo wa kukuajiri family business hawana
 
Kampuni kama DP world au Arabs Contractors unajua inaukubwa kiasi gani mpaka waajiri ndugu zào?

Kusema Watoto wa viongozi wasiajiriwe Kisa Wazazi waô wanajiweza kiuchumi ni dalili kuwa hujafikiri Sawasawa.

Siô Kîla Mtoto anategemea mbeleko ya Mzazi.
Ndîo maana kûna Watoto Kwao wanauwezo lakini anafanya mishe Ambazo familia aliyotoka hawaitaki
 
Kampuni kama DP world au Arabs Contractors unajua inaukubwa kiasi gani mpaka waajiri ndugu zào?
Sijasema nafasi zote
Mbona hata waswahili huajiriwa na wahindi kufua,udereva nk ila nafasi nyingi muhimu lazima wakae watoto na ndugu zao si vinginevyo. Unahodha washika wenyewe ubaharia ndio hata wewe waweza kukuajiri
 
Sasa kama hujasoma unàtaka ufanye shughuli gàni?

Kama Ndugu au Mtoto yako Kasoma uhasibu na unakampuni utaacha kumuajiri awe mhasibu kama anataka Kazi?

Alafu hizô Kazi za kufua nguo au udereva aliyekuambia siô Kazi ni Nani?

Nani amekuambia siô Kazi muhimu?

Una Fikra potofu.
 
Kisababishi kimojawapo cha tatizo la ajira ni watoto wa wafanyabiashara wa kiswahili kuomba kazi serikalini badala ya kuwa kwenye biashara za wazazi wao kama ilivyo kwa wahindi na waarabu
Shotton niseme sikufikiria kama nitapita na kukutana na marvellous answer huko huko umenikosha hili ndio jibu kuna mmoja chini amechallenge lakin hana uelewa ety anasema wengne wanataka wafanye kitu kingine ni hiv hata kama baba yake ana mgodi mtt asomee madini ili are aajir na wale maskin wasio na mitaji ya big and sustainable ventures au kama yy anataka kuwa daktar instead ya kusibiria na kubanana na ajira za nchi yy afungue releted hospital platforms hizi ajira ziachwe kwa wale poor kabisa leo mitoto na wazee wenye uwezo imekaa tu na imejazana kwenye nafas nzr jaman tuisaidie serikal katk kuajir kama tulivoitikia wito katk ujenz wa privt school kwenye vyombo vya ulinz kuwe na utaratibu wanajeshi waazimwe kwenda kwenye shughul za hatari za kidunia hii itawafanya wakubwa waliokwenda kuficha watt zao kwenye idara za ulinz na usalama waogope maana risk to death n kubwa sasa hv wakubwa wote watt zao wamewaficha kwenye idara hz ambazo hazikaguliwi either kitaaluma au kiutendaji kuoelekea kuzorota uzalishaji
 
Uongo wazazi wa kiswahili kutowashirikisha kwenye biashara toka wadogo ndio huwafanya wasiwe na interest

Wahindi,Waarabu na wapemba mbona wameweza kuwafanya watoto wao wapende biashara wanazofanya wazazi

Usijifiche nyuma ya passion ya mtoto uongo
Waswahili biashara ni kama uchawi hawashirikishi mke wala mtoto
Hii kupenda kupenda kufanya kitu uonekane tofauti na your ancestors ndio kunakofelisha ngoz nyeusi na ndio chmbko la matatizo yote tz hata umalaya unanzia hapa ndg zangu all successful business zina rooted from family origin dunia nzima kingne mtt wa kiswahil hana uwezo wa kuestablish na kusimamia ndoto zake maana hua yy anadefend tu kwa kuongea utasikia mm nataka nifike mpaka chuo au PhD siraki mwanaume huku mpk hapo alipo washapita baba ake 40 ndoto tueaachie weupe maana ndoto haina maana kupata pesa wao weupe just status tu so mtt wa kiafrika Tanzania includes ni kumuwazia afanye nn akifika miaka 30 ndo atajue afanye nn sisi akili zetu haziko sharp kufanya maamuzi na vitu sustaendable
 
Hili la ajira marehemu Lowassa alilipigia sana kelele kuwa siku za usoni ajira zitakuwa tatizo.
Lakini kwakua viongozi wakishashiba na familia zao na chama chao Cha majambazi basi wengine tunaachwa tujijue wenyewe.
Kila mwaka magraduate wanamwagika mitaani, mipango ya serikali ni ipi??
NA ANASHANGAA VIJANA KUCHUKUA MISHANGAZI. HIYO MISHANGAZI INAHUDUMIA HAO VIJANA HIVYO INAIPUNGUZIA SERIKALI NA WAZAZI MZIGO. MASHANGAZI WAHESHIMIWE
 
Siô Kîla mhindi au muarabu NI mfanyabiashara.

Wàpo wahindi wameajiriwa na wàpo waarabu wameajiriwa.
Kûna makampuni kibao ya kihindi na kiarabu àmbayo ukifika utakuta waarabu na wahindi wameajiriwa .

Nenda Kampuni la Arabs Contractors Kutoka Misri utawaona Waarabu wengi walioajiriwa.
Nenda viwandani Kule Mikocheni utaona wahindi walioajiriwa.

Wahindi na waarabu siô kwamba hawapendi kuajiriwa kwèñye shughuli za umma yàani serikali ni ila wanajua waswahili wengi ni wabaguzi na wataona kama wananyanyaswa.

Acha dhana potofu
Sawa na umkute mhindi barabarani, anachoma mahindi,

Badala ya kununua mahindi choma, utaanza kumshangaa, na kumwona lofa sana,

Lakini ukienda India kuna Wahindi masikini kuliko hata sisi Watanzania,
 
Weee mzee Mpango usijisahaulishe, kipindi cha jiwe wee ulikuwa waziri wa fedha, hamkuajiri mtu yeyote miaka gwala. Leo unauliza nini usijitoe ufahamu bwana aaahh.
 
Sawa na umkute mhindi barabarani, anachoma mahindi,

Badala ya kununua mahindi choma, utaanza kumshangaa, na kumwona lofa sana,

Lakini ukienda India kuna Wahindi masikini kuliko hata sisi Watanzania,

Tena wahindi Maskini NI wengi kuliko idadi ya watañzania wôte plus Kenya na uganda
 
Wajitafiti kwanza wenyewe kwa nini wameng'ang'ania kwenye madaraka kama gundi na hawataki kuachia madaraka?kwani hawajui kuwa kukubali kuachia madaraka nako nikutoa ajira kwa watu wengi?.
Halafu wakimaliza wanajifanya eti nao wanatuhubiri amani,utuwema na wakifika kanisani na misikitini kwenye makamera utasema ni watu wenye upole kumbe....
 
Back
Top Bottom