Hili la ajira marehemu Lowassa alilipigia sana kelele kuwa siku za usoni ajira zitakuwa tatizo.
Lakini kwakua viongozi wakishashiba na familia zao na chama chao Cha majambazi basi wengine tunaachwa tujijue wenyewe.
Kila mwaka magraduate wanamwagika mitaani, mipango ya serikali ni ipi??
NA ANASHANGAA VIJANA KUCHUKUA MISHANGAZI. HIYO MISHANGAZI INAHUDUMIA HAO VIJANA HIVYO INAIPUNGUZIA SERIKALI NA WAZAZI MZIGO. MASHANGAZI WAHESHIMIWE