Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

Magufuli alisema tufyatue wewe huo uzazi wa mpango umeutolea wapi?
 
Kuzaa ni rahisi bali kulea! Wenzetu kama Russia,Finland,Estonia nk wanahamasisha watu kuzaa lakini wanalipwa fedha ya kujikimu na serikali zao.
Sisi huku haiwezekani kihivyo.
Anyway mbona hata Marehemu JPM hajafa watu walikuwa wanazaliana tu?
 
Back
Top Bottom