Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Uzazi wa mpango ni suala la kipuuzi, dunia inakabiliwa na janga la uhaba wa watu
Ukiruka na ndege ndo utajua tanzania sehem kubwa ni pori
Badaye wanakuwa panyaroadTatizo wanazaa watoto kulea sasa ndio kunaongeza umaskini
Tatizo wanazaa watoto kulea sasa ndio kunaongeza umaskini
Hivi kuwa na watoto wengi ni mpaka ufikishe idadi ya watoto wangapi?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app