and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Kuna tomboy tulisoma nae Secondary. Jamaa kamzalisha watoto wa 5 ndani ya miaka 6Hakuna watu wagumu kuchapika kama TomBoy yaaani hata mlo wenyewe utatumia zaidi Masikhara na Ubabe kiasi vinginevyo utaishia kuzinguliwa daily. All in all utom Boy utamwisha akishabeba ujauzito ndio inakuwa bae bae maaana hakuna Nguo ya Mimba ya matom boy lazima avae Tenety au della.