Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Aliulizwa ana MISS NINI KUTOKANA NA HALI YAKE, kama alikua mpenzi wa kucheza mziki kwanini asiseme ukweli kua ana miss kucheza??Niliwahi kumuona kwenye TV akiulizwa ana miss nini kutokana na hali yake akajibu kwa mbwembwe ana miss KUCHEZA MZIKI!! ..... nikajiuliza yaani kwa hali ile bado anawaza kucheza cheza na kukatika? Je akijitonesha? Keshasahau mitihani yote aliyopewa na mungu.. anawaza starehe?
Kuna yatima na walemavu tunaishi nao hawajawahi ku pata support ya aina yoyote kwa jamii katika maisha yao na hawajulikani na mwanasiasa yoyote wa nchi hii tena hawajui hata namna ya kwenda kujitangaza na kuomba msaada kwenye TV.. any way.. KUPANGA NI KUCHAGUA..
Tunahtaji kiongozi Mcha Mungu ili tutoke kwenye mkwamo huu wa kimahusiano lakini tumepata mcha miungu tunagawanyika zaidi na yeye anachekelea.Amesahau mara hii hatunywi sumu hatujinyongi?
Africa bado xna hasa ccm inayoshindwa kujitangaza yenyewe inakimbilia kutumia pesa kununua binadamu wenzake huku pembeni wameendekesa siasa za fitna na majivunoYaani serious kuna wengine wanamhukumu kwa kutumia kigezo cha itikadi za kisiasa?!
Waafrika tuna safari ndefu ya kufahamu siasa hasa ni nini....
What's the difference kati ya anayenunua watu na hao wanaonunuliwa?!Africa bado xna hasa ccm inayoshindwa kujitangaza yenyewe inakimbilia kutumia pesa kununua binadamu wenzake huku pembeni wameendekesa siasa za fitna na majivuno
CCM oyeeeee. auze kadi yake kwa Lipumba halafu Lipumba aende magogoni abadilishe na ngawira. Diri tayari. Kuna watu wanashida wanakufa bila msaada, wewe unaongelea mtu ambaye ana kila kitu? Nenda vijijini uone watu wanavyoteseka na ndo hao baada ya miaka mitano wanavaa khanga na tshirts zile zile na hata majumbani ukiwatembelea kuta zina mapambo yale yale.Huyu dada ana shida, Watanzania huyu dada anaumwa anahitaji msaada. Nimemuona Clouds tv akijieleza kwa uchungu!
Tuweke mzaha, masihara pembeni tumsaidie atibiwe.
Kiukweli ukitazama akiongea utaguswa mno! Akifa hatujafanya kitu sijui tutasema nini. Wengi wana shida lakini kama watu maarufu yanawakuta haya sisi wengine itakuwaje?
Nimeona namba halali aliyoitaja kwenye tv kumsaidia ni 0768666113.
Tumsaidie jamani! Hata kama una buku!
Siasa siyo wizi na uhasama kama wafanyavyo, siyo kurubuni, ndiyo hatujaelewa kabisa siasa mko tayari kuua walio na mawazo mbadala kwa maendeleo ya Taifa. Na hawa ndiyo hao wawapigiao debe kwa ushawishi wao wa ustaa mpk wanajitonesha.Yaani serious kuna wengine wanamhukumu kwa kutumia kigezo cha itikadi za kisiasa?!
Waafrika tuna safari ndefu ya kufahamu siasa hasa ni nini....
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Toa msaada Mkuu, na kutoa ni Mali si utajiri,Mwenyezimungu ndie alieumba mbingu na ardhi na akaumba mataifa mbalimbali lengo ni kufahamiana na kusaidiana.Binadam akipata matatizo jihisi ndoo kama ww unayo kwa sababu binadam tulivyoumbwa tupo sawa.Maumivu anayoyapata ndoo yangenipata mm vilevile
Naomba tuache suala la kumhukum ss tutimize wajibu wa kumsaidia kama binadam mwenzetu mambo mengine tumuachie muumba,kuwa kwenye chama cha ccm haumuondelei ubinadam tuungane tutakacho kipata tumsaidie ndugu zangu
Mimi siwezi kuchanga hata 100Mwenyezimungu ndie alieumba mbingu na ardhi na akaumba mataifa mbalimbali lengo ni kufahamiana na kusaidiana.Binadam akipata matatizo jihisi ndoo kama ww unayo kwa sababu binadam tulivyoumbwa tupo sawa.Maumivu anayoyapata ndoo yangenipata mm vilevile
Naomba tuache suala la kumhukum ss tutimize wajibu wa kumsaidia kama binadam mwenzetu mambo mengine tumuachie muumba,kuwa kwenye chama cha ccm haumuondelei ubinadam tuungane tutakacho kipata tumsaidie ndugu zangu
Maneno yako ni mazito sana ukiyapima kwenye uzani unaweza kupata tone 2.5...Vipi yule mumewe mbunge?
Vipi majumba yake na magari?
Kiukweli Mimi sichangi, maana kuna watz wanauhitaji kuliko yeye, tena wengine hata pakukaa hawana
Kwa hiyo nae alinunuliwa awasimange waTZ ajiuguze basi, na nyie msaidieniWhat's the difference kati ya anayenunua watu na hao wanaonunuliwa?!