Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

Niliwahi kumuona kwenye TV akiulizwa ana miss nini kutokana na hali yake akajibu kwa mbwembwe ana miss KUCHEZA MZIKI!! ..... nikajiuliza yaani kwa hali ile bado anawaza kucheza cheza na kukatika? Je akijitonesha? Keshasahau mitihani yote aliyopewa na mungu.. anawaza starehe?
Aliulizwa ana MISS NINI KUTOKANA NA HALI YAKE, kama alikua mpenzi wa kucheza mziki kwanini asiseme ukweli kua ana miss kucheza??
tusipende kuwa mahakimu,
(you can't understand something you never had)
 
Kuna yatima na walemavu tunaishi nao hawajawahi ku pata support ya aina yoyote kwa jamii katika maisha yao na hawajulikani na mwanasiasa yoyote wa nchi hii tena hawajui hata namna ya kwenda kujitangaza na kuomba msaada kwenye TV.. any way.. KUPANGA NI KUCHAGUA..

Hii isiwe sababu ya kutomsaidia mtu kwakua kuna wengene wanamatatizo lakini hawasaidiwi.

Unapotoa Mungu anakurudishia mara dufu huu ni ushuda sio blah blah
 
CCM INA WENYEWE....
NA HII NI LAANA KWA WOTE WALIOINGIZA HII NUKSI MADARAKANI....

KOMBA KAISOMA NAMBA
BONGO MOVIE NDO INAKUFA HVYO
DIAMOND KABAKIA MATUKIO TU MUZIKI MBOVU
STIVE NYERERE NDO ANASEPA HVYO
CHID BENZ NA YEYE NDO BASI TENA
WEMA SEPETU NA YEYE AMEBAKI KUGAWA PAPA TU
CLOUDS NA WAO WAMEISOMA NAMBA FINE FINE TU DAILY

N.B
Kuna wenye uhitaji kuliko yeye
 
sahiv maisha magumu sana. mwambie ajaribu kwenda ccm wamsaidie..Sisi wananchi wakawaida atuna kitu.Alafu mwambie Akazle roho..akifa atakuwa amekufa kama watu wengine.Anabidi ajihandae kisaikolojia.
 
Yaani serious kuna wengine wanamhukumu kwa kutumia kigezo cha itikadi za kisiasa?!

Waafrika tuna safari ndefu ya kufahamu siasa hasa ni nini....
Africa bado xna hasa ccm inayoshindwa kujitangaza yenyewe inakimbilia kutumia pesa kununua binadamu wenzake huku pembeni wameendekesa siasa za fitna na majivuno
 
Africa bado xna hasa ccm inayoshindwa kujitangaza yenyewe inakimbilia kutumia pesa kununua binadamu wenzake huku pembeni wameendekesa siasa za fitna na majivuno
What's the difference kati ya anayenunua watu na hao wanaonunuliwa?!
 
Huyu dada ana shida, Watanzania huyu dada anaumwa anahitaji msaada. Nimemuona Clouds tv akijieleza kwa uchungu!

Tuweke mzaha, masihara pembeni tumsaidie atibiwe.

Kiukweli ukitazama akiongea utaguswa mno! Akifa hatujafanya kitu sijui tutasema nini. Wengi wana shida lakini kama watu maarufu yanawakuta haya sisi wengine itakuwaje?

Nimeona namba halali aliyoitaja kwenye tv kumsaidia ni 0768666113.

Tumsaidie jamani! Hata kama una buku!
CCM oyeeeee. auze kadi yake kwa Lipumba halafu Lipumba aende magogoni abadilishe na ngawira. Diri tayari. Kuna watu wanashida wanakufa bila msaada, wewe unaongelea mtu ambaye ana kila kitu? Nenda vijijini uone watu wanavyoteseka na ndo hao baada ya miaka mitano wanavaa khanga na tshirts zile zile na hata majumbani ukiwatembelea kuta zina mapambo yale yale.
 
Walizunguka nchi nzima wakisimanga watu, kumcheka mzee wa watu. Si aende kwa wapiga pushap mafuko ya pesa wameshikilia tena hawataki wengine wawe nayo. Aamue kujitibia aache kulialia
Najua akitembeza bakuli pale lumumba kwa wajomba zake watampandisha ndege leoleo.
 
Mwenyezimungu ndie alieumba mbingu na ardhi na akaumba mataifa mbalimbali lengo ni kufahamiana na kusaidiana.Binadam akipata matatizo jihisi ndoo kama ww unayo kwa sababu binadam tulivyoumbwa tupo sawa.Maumivu anayoyapata ndoo yangenipata mm vilevile

Naomba tuache suala la kumhukum ss tutimize wajibu wa kumsaidia kama binadam mwenzetu mambo mengine tumuachie muumba,kuwa kwenye chama cha ccm haumuondelei ubinadam tuungane tutakacho kipata tumsaidie ndugu zangu
 
Yaani serious kuna wengine wanamhukumu kwa kutumia kigezo cha itikadi za kisiasa?!

Waafrika tuna safari ndefu ya kufahamu siasa hasa ni nini....
Siasa siyo wizi na uhasama kama wafanyavyo, siyo kurubuni, ndiyo hatujaelewa kabisa siasa mko tayari kuua walio na mawazo mbadala kwa maendeleo ya Taifa. Na hawa ndiyo hao wawapigiao debe kwa ushawishi wao wa ustaa mpk wanajitonesha.

Namba hiyo tunaisoma wote mshauri siku hizi pesa mtaani hakuna aende kwa msemaji wa wazee atamsaidia.
 
Mwenyezimungu ndie alieumba mbingu na ardhi na akaumba mataifa mbalimbali lengo ni kufahamiana na kusaidiana.Binadam akipata matatizo jihisi ndoo kama ww unayo kwa sababu binadam tulivyoumbwa tupo sawa.Maumivu anayoyapata ndoo yangenipata mm vilevile

Naomba tuache suala la kumhukum ss tutimize wajibu wa kumsaidia kama binadam mwenzetu mambo mengine tumuachie muumba,kuwa kwenye chama cha ccm haumuondelei ubinadam tuungane tutakacho kipata tumsaidie ndugu zangu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Toa msaada Mkuu, na kutoa ni Mali si utajiri,
Lakini mimi siweziktoa msaada kwa mtu ambae
1.Anamiliki majumba na magari wakati Mimi hata pikipiki sina
2.Anaetaka kutibiwa abroad wakat hata hospitali za ndani zinawezakumtibu na kwa amani kabisa,
3.mtu ambae alianandamana na watu na ktumia kpaj chake kumtangaza lowasa ni mgonjwa,
 
Mwenyezimungu ndie alieumba mbingu na ardhi na akaumba mataifa mbalimbali lengo ni kufahamiana na kusaidiana.Binadam akipata matatizo jihisi ndoo kama ww unayo kwa sababu binadam tulivyoumbwa tupo sawa.Maumivu anayoyapata ndoo yangenipata mm vilevile

Naomba tuache suala la kumhukum ss tutimize wajibu wa kumsaidia kama binadam mwenzetu mambo mengine tumuachie muumba,kuwa kwenye chama cha ccm haumuondelei ubinadam tuungane tutakacho kipata tumsaidie ndugu zangu
Mimi siwezi kuchanga hata 100
 
Ahamie CHADEMA halafu aikosoe sana serikali na ikiwezekana atafute kata ya kugombea udiwani naamini hapo ccm watakuja na fedha za manunuzi. Sorry Dada Wastara mbelembele hadi kusikojulikana. Tuna fedha za kununua wanachadema na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom