Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

Noma sana!
 
ina maana utu umeisha sasaivi-ina maana siasa mchwara izi tumezibeba mpaka kwenye nyoyo zetu!? je haya ndo maendelea tunayo ya pigania! nazungumzia kote kote alipo kua mwanachama na huku kuliko ndungu zake! waafrika kuendelea mwikoo kwani hata hizi siasa ni drama tupu kama hatutabadilisha fikra zenye kujenga-je ina maana kiongozi wa upinzani awezi kusaidia mtu alie mrengo wa kulia?!chuki hizi waafrika mpaka wapi?kila siku tuna sema siasa za chuki azi jengi!!! kumbukeni hata hio demokrasia tunayo ipigania bila kuondoa chuki ni kazi buree
 
Huyu Mwanamke kazidi.

Kila tatizo lake lazima liwe la Nchi.

Wakati anakula raha na mabwana zake huko kila siku hatuhusishwi,tunasikia watu wanataka kumuoa kila siku.

Hao mabwana wamtoe sasa!

Halafu anapenda sana huruma huyu kicheche!

Katika level za kitanzania ana maisha mazuri asituzuge hapa.Tanzania hii kuna watu hawana hata mlo,huyu kicheche hadi magazetini wanamtoa.

She is fake,na tatizo lake ni la kawaida,lipo exaggerated sana sababu tu ana umaarufu na access na vyombo vya habari.

Kuliko nitoe hivi vimadafu vyangu,aisee nitaenda kijijini kwangu kuna ndugu kibao hawana chochote,heri nikasaidie.

Huyu ni artist tu,kama Steven Nyerere.Wote shuwaini tu.
 
ana nyumba mbili,magari sijui matatu,auze kimoja aache ujinga bana,wenye shida wengi,mguu aliutonesha akikata mauno kwenye ile nyimbo ya masimango kwa watanzania ya TOT
Imebidi nicheke kama vile mazuri.
 
ana nyumba mbili,magari sijui matatu,auze kimoja aache ujinga bana,wenye shida wengi,mguu aliutonesha akikata mauno kwenye ile nyimbo ya masimango kwa watanzania ya TOT
Tuache utani,katika hit song marehemu komba,ile ngoma alijitahidi sana.
 
Hatupaswi kuwahukumu binadam wenzetu kwa yale waliyoyafanya,kama kuna m2 anaweza kujitolea angalao hata Tsh 100/= basi afanye hivyo...,pia nawakumbusha hawa ndugu zetu wa Bongo movie na Bongo flavour;walituingiza utumwani kwa kutumia vipaji vyao huku wakiamini kuwa sisi the common p'ple ndyo tutakaoisoma number...kumbe hawakujua kuwa wanakata tawi tulilokalia wote,kilichopo hivi sasa ni kuwa kila Mtanzania analia,hana amani moyoni mwake,hakuna ajira,hakuna kupanda madaraja,watu wanafukuzwa makazini,watu wanauawa bila sababu
Ninapoyaandka yote haya nafsi inaniuma sana kwa yale waliyoyafanya hawa mabongo movies na bongo flavour,lkn yote kwa yote tumsaidie ndugu yetu!
 
Bila shaka utakuwa una kipande cha gogo mata.k.on I mwako.
Acheni roho mbaya !
 
Mimi sina chama chochote ila nimeshajiapiza tangu Nina miaka 10 sitakuja kutoa msaada wa aina yoyote kwa mwanachama wa chama cha maelezo kwa kifupi (CCM).

Mungu nisaidie
Omba yasokukute
 
Kama ccm yake imeshindwa kumsaidia apambane na hali yake.

Asinywe sumu wala asijinyonge ccm mbele kwa mbele ikinunua madiwani na wabunge kwa hela za walipakodi.
Hujafa hujaunbika,Omba yasikukute



Mimi siwezi kuchanga hata 100

Ahamie CHADEMA halafu aikosoe sana serikali na ikiwezekana atafute kata ya kugombea udiwani naamini hapo ccm watakuja na fedha za manunuzi. Sorry Dada Wastara mbelembele hadi kusikojulikana. Tuna fedha za kununua wanachadema na si vinginevyo.
 
ana nyumba mbili,magari sijui matatu,auze kimoja aache ujinga bana,wenye shida wengi,mguu aliutonesha akikata mauno kwenye ile nyimbo ya masimango kwa watanzania ya TOT
Na kuna kipindi alijinani ana car wash
 



Mshua ume-hit the nerve sawia!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wa.pu.mba.vu ndio watatoa hela kumchangia. Tatizo lake pale MOI ni jepesi sana. Sema ndio vile anatafuta mtaji na hela ya kulia bata. Watu kila siku wanakatwa miguu moi wanatulia majumbani wanapona. Yeye anatumia mgongo wa India ili achangiwe pesa nyingi. Nimeshudia mtu kafanyiwa upasuaji uti wa mgongo MOI alilala mwaka mzima ila sasa hivi anatembea vizuri. Ugonjwa ni kufuata masharti ya Dr ndio utapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…