Huyu Mwanamke kazidi.
Kila tatizo lake lazima liwe la Nchi.
Wakati anakula raha na mabwana zake huko kila siku hatuhusishwi,tunasikia watu wanataka kumuoa kila siku.
Hao mabwana wamtoe sasa!
Halafu anapenda sana huruma huyu kicheche!
Katika level za kitanzania ana maisha mazuri asituzuge hapa.Tanzania hii kuna watu hawana hata mlo,huyu kicheche hadi magazetini wanamtoa.
She is fake,na tatizo lake ni la kawaida,lipo exaggerated sana sababu tu ana umaarufu na access na vyombo vya habari.
Kuliko nitoe hivi vimadafu vyangu,aisee nitaenda kijijini kwangu kuna ndugu kibao hawana chochote,heri nikasaidie.
Huyu ni artist tu,kama Steven Nyerere.Wote shuwaini tu.