Kuhusu 'Wawekezaji'... anaandika Maalim Nash

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
5,443
Reaction score
8,903
Kisiasa na kijamii, Je, ujumbe huu wa Maalim Nash una reflection yoyote kwenye maisha ya Tanzania kwa sasa?

Sikiliza kuanzia mwanzo hadi dakika ya 1:30

Your browser is not able to play this audio.




-Kaveli-
 

Attachments

Bongo mambo yanayopata airtime ni yale ya kuzugia na yasiyo na tija. Yale yaliyopaswa kupewa airtime yanaongelewa kwa kificho kama ya kihalifu.
 
2pac aliwahi sema: ''Hip Hop for Community potentials".

Je, ujumbe huu wa Maalim Nash kuhusu 'wawekezaji'... unaakisi hilo?

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…