Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goma la maana sana ila ndiyo hivyo wabongo wanaskizishwa mapenzi asubuhi, mchana na jioni.
Goma la maana sana ila ndiyo hivyo wabongo wanaskizishwa mapenzi asubuhi, mchana na jioni.
Yani inasikitisha sana, unaweza kuelewa jamii tuliyo nayo imejaa watu wa namna gani.Wabongo wanataka kusikia "weka mate iteleze'' by Diamond, au wasikie "sukari" ya Zuchu. Vibe huwapanda zaidi wakiskizishwa "Nampa papa" by Gigy money.
Bado safari ndefu sana kuzikomboa fikra za wabongo.
-Kaveli-
Yani inasikitisha sana, unaweza kuelewa jamii tuliyo nayo imejaa watu wa namna gani.
MHADHIRI mwenye V.V.U
-Kaveli-
AliimbaNi bahati mbaya sana wasanii kama Nash hawapewi airtime kwenye jamii yetu watanzania, japo kazi zao zina mchango mkubwa kwa jamii.
-Kaveli-