Kuhusu Whatsapp

Kuhusu Whatsapp

aad

Member
Joined
May 15, 2019
Posts
66
Reaction score
63
Whatsapp Chats, Voice notes, Video calls na Calls za kawaida unazoweza kufanya kupitia Whatsapp ,Je huhifadhiwa katika server za Whatsapp?

Na kama nikitaka kufanya backup ya chats, voice notes, video calls na calls za kawaida inawezekana?

Chief-Mkwawa
 
Zinahifadhiwa kwenye simu yako, kama unataka kuhifadhi online then unaweza tumia Gmail ipo option ndani ya whatsapp.

Backup unaweza fanya, ya offline hufanyika kila siku, ya Online unachagua mwenyewe kama kila siku ama wiki ama mwezi etc.
 
Je kama nikitaka kufanya backup ya voice call au video call inawezekana?
 
Je kama nikitaka kufanya backup ya voice call au video call inawezekana?
Hii itabidi uweke separate application ya kurecord then vitakaa folder fulani halafu uta backup tokea hilo folder.
 
Naomba kufahamu Jambo moja. Tunaona Instagram kuwa watu wanandika kuwa Wana uwezo wa kuuunganisha calls, msg na WhatsApp calls na msg kwa mtu mwingine bila mhusika kufahamu... Wanacharge na pesa. Hii Ni halisi?? Kuwa Kuna mtu anaweza kupata access ya Yote haya kirahisi tuu?? Naweka na mfano hapo chini..
Screenshot_20230104-090324_1.jpg
Screenshot_20230106-165341_1.jpg
 
Naomba kufahamu Jambo moja. Tunaona Instagram kuwa watu wanandika kuwa Wana uwezo wa kuuunganisha calls, msg na WhatsApp calls na msg kwa mtu mwingine bila mhusika kufahamu... Wanacharge na pesa. Hii Ni halisi?? Kuwa Kuna myu anaweza kupata access ya Yote haya kirahisi tuu?? Naweka na mfano hapo chini..
Whatsapp ina end to end encryption sidhani kama inaingilika kirahisi hivyo
 
Whatsapp Chats, Voice notes, Video calls na Calls za kawaida unazoweza kufanya kupitia Whatsapp ,Je huhifadhiwa katika server za Whatsapp?

Na kama nikitaka kufanya backup ya chats, voice notes, video calls na calls za kawaida inawezekana?

Chief-Mkwawa
 
Naomba kufahamu Jambo moja. Tunaona Instagram kuwa watu wanandika kuwa Wana uwezo wa kuuunganisha calls, msg na WhatsApp calls na msg kwa mtu mwingine bila mhusika kufahamu... Wanacharge na pesa. Hii Ni halisi?? Kuwa Kuna myu anaweza kupata access ya Yote haya kirahisi tuu?? Naweka na mfano hapo chini..
tunaomba kufahamishwa hapa Chief-Mkwawa
 
Whatsapp ina end to end encryption sidhani kama inaingilika kirahisi hivyo
Hivi hii end to end encryption huwa inamaanisha nini au ina maana gani, itakuwa vizuri kama utatuelimisha
 
End to end encryption maana yake data zinakuwa encrypted (Zinafungwa kitaalamu ili zisisomeke) kisha zinakuwa decrypted (Zinafunguliwa) pale tu zinapofika kwa unayemtumia, so hakuna uwezekano wa mtu yooye kati ya sender na receiver kuzisoma data hata FB/WhatsApp wenyewe.

Funguo za encryption/decryption zinashikiliwa na pande hizo mbili sender/receiver. FB hawawezi kusizoma wala kulazimishwa kutoa hizo msg kwa kuwa hawana huo uwezo.

Hii ni tofauti na encyption ya kawaida inayotumika mtandaoni (mfano Telegram, JF) ambayo ni kati ya mtumiaji na server, so msg inakuwa encrypted inatumwa kwenye server inakuwa decrypted kisha inakuwa encrypted tena na kutumwa kwa mpokeaji ambaye anadecrypt tena. Funguo za encryption/decryption zinashikiliwa na server. So hii inakulinda kiasi ila Telegram wanaweza kuzisoma msg na pia wanaweza kulazimishwa kisheria kutoa msg hizo. Kwa mfano JF wanaweza kusome DM zetu zote 😳
 
  • Thanks
Reactions: aad
Hivi hii end to end encryption huwa inamaanisha nini au ina maana gani, itakuwa vizuri kama utatuelimisha

What is end-to-end encryption?​

End-to-end encryption (E2EE) is a method of secure communication that prevents third parties from accessing data while it's transferred from one end system or device to another.

In E2EE, the data is encrypted on the sender's system or device, and only the intended recipient can decrypt it. As it travels to its destination, the message cannot be read or tampered with by an internet service provider (ISP), application service provider, hacker or any other entity or service.

Many popular messaging service providers use end-to-end encryption, including Facebook, WhatsApp and Zoom. These providers have faced controversy around the decision to adopt E2EE. The technology makes it harder for providers to share user information from their services with authorities and potentially provides private messaging to people involved in illicit activities.

How does end-to-end encryption work?​

The cryptographic keys used to encrypt and decrypt the messages are stored on the endpoints. This approach uses public key encryption.

Public key, or asymmetric, encryption uses a public key that can be shared with others and a private key. Once shared, others can use the public key to encrypt a message and send it to the owner of the public key. The message can only be decrypted using the corresponding private key, also called the decryption key.

In online communications, there is almost always an intermediary handing off messages between two parties involved in an exchange. That intermediary is usually a server belonging to an ISP, a telecommunications company or a variety of other organizations. The public key infrastructure E2EE uses ensures the intermediaries cannot eavesdrop on the messages that are being sent.

The method for ensuring a public key is the legitimate key created by the intended recipient is to embed the public key in a certificate that has been digitally signed by a recognized certificate authority (CA). Because the CA's public key is widely distributed and known, its veracity can be counted on; a certificate signed by that public key can be presumed authentic. Since the certificate associates the recipient's name and public key, the CA would presumably not sign a certificate that associated a different public key with the same name.

Diagram showing how end-to-end encryption works

How does E2EE differ from other types of encryption?​

What makes end-to-end encryption unique compared to other encryption systems is that only the endpoints -- the sender and the receiver -- are capable of decrypting and reading the message. Symmetric key encryption, which is also known as single-key or secret key encryption, also provides an unbroken layer of encryption from sender to recipient, but it uses only one key to encrypt messages.

The key used in single-key encryption can be a password, code or string of randomly generated numbers and is sent to the message recipient, enabling them to unencrypt the message. It may be complex and make the message look like gibberish to intermediaries passing it from sender to receiver. However, the message can be intercepted, decrypted and read, no matter how drastically the one key changes it if an intermediary gets ahold of the key. E2EE, with its two keys, keeps intermediaries from accessing the key and decrypting the message.
 
  • Thanks
Reactions: aad
Uzi mzuri sana ila kuhifadhi calls za whatsapp lazima uwe na kiprogramu cha kurecord kipindi call inaendelea na kusave otherwise is false sababu ya encryption yake
 
  • Thanks
Reactions: aad
Huyu nilishaona hilo bandiko lake lakini kuna wataalamu walisema ni mhuni sasa sijui aliishia wapi, labda kuna jambo in between na hasa wasiojulikana
 
End to end encryption maana yake data zinakuwa encrypted (Zinafungwa kitaalamu ili zisisomeke) kisha zinakuwa decrypted (Zinafunguliwa) pale tu zinapofika kwa unayemtumia, so hakuna uwezekano wa mtu yooye kati ya sender na receiver kuzisoma data hata FB/WhatsApp wenyewe.
Funguo za encryption/decryption zinashikiliwa na pande hizo mbili sender/receiver. FB hawawezi kusizoma wala kulazimishwa kutoa hizo msg kwa kuwa hawana huo uwezo.

Hii ni tofauti na encyption ya kawaida inayotumika mtandaoni (mfano Telegram, JF) ambayo ni kati ya mtumiaji na server, so msg inakuwa encrypted inatumwa kwenye server inakuwa decrypted kisha inakuwa encrypted tena na kutumwa kwa mpokeaji ambaye anadecrypt tena. Funguo za encryption/decryption zinashikiliwa na server. So hii inakulinda kiasi ila Telegram wanaweza kuzisoma msg na pia wanaweza kulazimishwa kisheria kutoa msg hizo. Kwa mfano JF wanaweza kusome DM zetu zote

End to end encryption maana yake data zinakuwa encrypted (Zinafungwa kitaalamu ili zisisomeke) kisha zinakuwa decrypted (Zinafunguliwa) pale tu zinapofika kwa unayemtumia, so hakuna uwezekano wa mtu yooye kati ya sender na receiver kuzisoma data hata FB/WhatsApp wenyewe.
Funguo za encryption/decryption zinashikiliwa na pande hizo mbili sender/receiver. FB hawawezi kusizoma wala kulazimishwa kutoa hizo msg kwa kuwa hawana huo uwezo.

Hii ni tofauti na encyption ya kawaida inayotumika mtandaoni (mfano Telegram, JF) ambayo ni kati ya mtumiaji na server, so msg inakuwa encrypted inatumwa kwenye server inakuwa decrypted kisha inakuwa encrypted tena na kutumwa kwa mpokeaji ambaye anadecrypt tena. Funguo za encryption/decryption zinashikiliwa na server. So hii inakulinda kiasi ila Telegram wanaweza kuzisoma msg na pia wanaweza kulazimishwa kisheria kutoa msg hizo. Kwa mfano JF wanaweza kusome DM zetu zote 😳
Nimeelewa mkuu, Shukrani
 
Back
Top Bottom