"Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa
(kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka
wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga
nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa
mechi"
Steven Mguto (Mwenyekiti bodi ya ligi)
Has he tendered his resignation letter?sasa mwenyekiti wa bodi unakuwa very naive kiasi hichi...alafu tutegemee kuwa na ligi bora ya kutupatia timu nzuri ya taifa!...non sense.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni kuwa hapo nyie Mambumbu Watoa rushwa kuwa ndio mnawekewa mazingira ya Ubingwa kwa sababu Yanga itakuwa inacheza match kila baada ya saa 24hili swala la ratiba ya yanga lilisemwa muda mrefu ila ingekuwa simba ndio imepewa ratiba ya namna hiyo ungesikia maneno toka kwa washabiki , viongozi wa vyura na waandishi wenu uchwara
. Inakuhitaji ujitoe faham kufuatilia soka la bongo.Viongoz hawapo focus na soccer letu zaid ya kunufaisha matimbo yao."Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa
(kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka
wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga
nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa
mechi"
Steven Mguto (Mwenyekiti bodi ya ligi)
Huoni kuwa hapo nyie Mambumbu Watoa rushwa kuwa ndio mnawekewa mazingira ya Ubingwa kwa sababu Yanga itakuwa inacheza match kila baada ya saa 24
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hamkumkumbusha?Huoni kuwa hapo nyie Mambumbu Watoa rushwa kuwa ndio mnawekewa mazingira ya Ubingwa kwa sababu Yanga itakuwa inacheza match kila baada ya saa 24
Sent using Jamii Forums mobile app
"Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa
(kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka
wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga
nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa
mechi"
Steven Mguto (Mwenyekiti bodi ya ligi)
Mbumbumbu washenzi sana hawaHuoni kuwa hapo nyie Mambumbu Watoa rushwa kuwa ndio mnawekewa mazingira ya Ubingwa kwa sababu Yanga itakuwa inacheza match kila baada ya saa 24
Sent using Jamii Forums mobile app
Thought so, but not sure this can happenHas he tendered his resignation letter?