Kuhusu Yanga Kucheza Jumapili Hadi Jumapili...

Kuhusu Yanga Kucheza Jumapili Hadi Jumapili...

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
"Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa
(kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka
wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga
nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa
mechi"
Steven Mguto (Mwenyekiti bodi ya ligi)
 
sasa mwenyekiti wa bodi unakuwa very naive kiasi hichi...alafu tutegemee kuwa na ligi bora ya kutupatia timu nzuri ya taifa!...non sense.
"Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa
(kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka
wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga
nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa
mechi"
Steven Mguto (Mwenyekiti bodi ya ligi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kweli huko TFF kumejaa Mikia
Screenshot_20200130-181755.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili swala la ratiba ya yanga lilisemwa muda mrefu ila ingekuwa simba ndio imepewa ratiba ya namna hiyo ungesikia maneno toka kwa washabiki , viongozi wa vyura na waandishi wenu uchwara
Huoni kuwa hapo nyie Mambumbu Watoa rushwa kuwa ndio mnawekewa mazingira ya Ubingwa kwa sababu Yanga itakuwa inacheza match kila baada ya saa 24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa
(kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka
wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga
nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa
mechi"
Steven Mguto (Mwenyekiti bodi ya ligi)
. Inakuhitaji ujitoe faham kufuatilia soka la bongo.Viongoz hawapo focus na soccer letu zaid ya kunufaisha matimbo yao.
 
Mshabiki wa yanga ni kama mwanamke mgumba ambaye yupo kwenye siku zake.anakuwa na hasira maana anajua hata akimaliza period bado haina faida.yanga ni walalamishi tu kama mwanamke mgumba aliyetalikiwa.yaani kila kitu anaona anaonewa tu.

Huoni kuwa hapo nyie Mambumbu Watoa rushwa kuwa ndio mnawekewa mazingira ya Ubingwa kwa sababu Yanga itakuwa inacheza match kila baada ya saa 24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga wanajua mchezo mzima msitufanye wajinga bhana.

Ni mpango wa kujitengenezea viporo ili mtumie mbinu zenu huku mkijidai mnaonewa.

Hii janja janja hii!

Na huyu mwenyekiti wa bodi anapaswa kujiuzulu haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa
(kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka
wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga
nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa
mechi"
Steven Mguto (Mwenyekiti bodi ya ligi)
FB_IMG_1580404148356.jpg
 
Yanga haina umuhimu wowote zipangiwe nyingine kama azam ,mtibwa namungo
 
Ni uhuni tu,wanataka waje watupangie bila kupumzika back to back
 
Back
Top Bottom