Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Yule Tall Mweupe mlinzi wa MAGU siku hizi simuoni kabisa au Kashapangiwa kazi nyingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sio kazi yake na yeye hapo alipo analindwa na huwa wanateuliwa na kitengo husika ila huwa wanatoka jeshini ndio maana unamuona huwa anavalia magwanda..Ahaa[emoji23] naona muda mwengine anakuwa anaangalia angalia watu kama kuchunguza wale wenye nia mbaya.. Ili yasije yakatokea kama yale ya Mwinyi naona!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi nilimuona kwa waziri mkuu!,labda kabadilishwa!Yule Tall Mweupe mlinzi wa MAGU siku hizi simuoni kabisa au Kashapangiwa kazi nyingine?
View attachment 1457549
Mwenye Sigda wa Kitambo sana yule jamaa nahisi tangu enzi za JK na Shein.Kuna kipindi nilimuona kwa waziri mkuu!,labda kabadilishwa!
Sahivi kwa rais wamebaki zile jamaa mbili ile yenye sigda na yule jamaa mwengine yenye kitambi..😅
Jamaa lipo kaksi kinoma!Mwenye Sigda wa Kitambo sana yule jamaa nahisi tangu enzi za JK na Shein.
Na yule mma alikuwepo awali alienda wapi?Mwenye Sigda wa Kitambo sana yule jamaa nahisi tangu enzi za JK na Shein.
HahahaANAITWA LYAGAMBA LYAMFIPA MFAGULENAMBE ANATOKEA KULE SUMBAWANGA
Sengerema yuko sahihi,hayo mengine sijui.!Eti kuna mlevi mmoja huku sengerema alinambia huyo jamaa ni mdogo ake sijui kaka ake na Lawrence Masha, amessoma nje akaamua arudi nchini akuwe mjeda.
Kwenye kahawa kuna story mingi sana
Ooh Shukrani sana Saguda.
Yule Tall Mweupe mlinzi wa MAGU siku hizi simuoni kabisa au Kashapangiwa kazi nyingine?
View attachment 1457549
umenifanya nicheke kwa sauti....ANAITWA LYAGAMBA LYAMFIPA MFAGULENAMBE ANATOKEA KULE SUMBAWANGA