Kuhusu yule mwamba anaesimama nyuma ya Rais

Kuhusu yule mwamba anaesimama nyuma ya Rais

Yule Tall Mweupe mlinzi wa MAGU siku hizi simuoni kabisa au Kashapangiwa kazi nyingine?

MG.jpg
 
Ahaa[emoji23] naona muda mwengine anakuwa anaangalia angalia watu kama kuchunguza wale wenye nia mbaya.. Ili yasije yakatokea kama yale ya Mwinyi naona!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio kazi yake na yeye hapo alipo analindwa na huwa wanateuliwa na kitengo husika ila huwa wanatoka jeshini ndio maana unamuona huwa anavalia magwanda..
Ila Kuna kipindi Cha nyerere alikuwa anatoka polisi! Wakaja kubadilisha..
 
Eti kuna mlevi mmoja huku sengerema alinambia huyo jamaa ni mdogo ake sijui kaka ake na Lawrence Masha, amessoma nje akaamua arudi nchini akuwe mjeda.
Kwenye kahawa kuna story mingi sana
 
Kuna kipindi nilimuona kwa waziri mkuu!,labda kabadilishwa!

Sahivi kwa rais wamebaki zile jamaa mbili ile yenye sigda na yule jamaa mwengine yenye kitambi..😅
Mwenye Sigda wa Kitambo sana yule jamaa nahisi tangu enzi za JK na Shein.
 
Ni kweli aisee sura yake sio ngeni kabisa ...nahisi kuna mahali nishawahi kukutana nae
 
Wajumvi walinzi wanatokea wap kama huyo jamaa msaidizi anatokea jeshini
 
Back
Top Bottom