Kuibiwa kusikie tu

Mwenzako anataka kuchangiwa, wewe unaleta ushauriπŸ˜‚
 
Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Hasara roho pesa makaratasi brooo.
Alafu wee kweli wakupata tabu kwa loss ya 350k wakati u a utajiri wa 3 billion dollars
 
Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Pole sana mkuu. Itakuwa hawo mateja walikulia timing mbaya sana. Siku moja nilikuwa na mzigo mnene mfukoni mateja wakajipanga kuniibia nikawashtukia. Hata ile gari niliyokusudia kusafiria sikuipanda kabisa nilitafuta gari nyingine. Mateja wasikie tu; sio watu!
 
Mkuu siku nikikuta wanapiga mwizi naweza kuua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…