Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Ukute ndo ilikuwa hela ya mshahara!Asante mkuu yani hapa napiga hesabu za kutoboa hadi mwezi wa 3 zinagoma mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute ndo ilikuwa hela ya mshahara!Asante mkuu yani hapa napiga hesabu za kutoboa hadi mwezi wa 3 zinagoma mkuu
Mwenzako anataka kuchangiwa, wewe unaleta ushauri😂Pole sana ila jaribu kua makini na watu hasa unapokua na pesa taslimu,
Hao wezi inaonekana wamekufuatilia tokea unatoka Benki,kwanini unatembea na cash kubwa hivyo kwa Dunia ya leo? Kwanini hukuchukua japo Uber kwa usalama zaidi?
Pole sana ila angalia kosa lako ni lipi mpaka ikapelekea kuibiwa ili usije ukarudia tena kosa hilo hilo siku nyingine,
Nakukumbusha tu Mkuu,uwe unatoa sadaka,japo kuwasaidia wahitaji humo Barabarani.
Sasa hata akichangiwa,si anaweza kurudia tena kosa lile lile? Ataenda tena kuzitoa hela zote kisha apande Daladala ziibiwe tena,Mwenzako anataka kuchangiwa, wewe unaleta ushauri😂
Ndo ivyo mkuu yani kichwa kinaumaUkute ndo ilikuwa hela ya mshahara!
Hasara roho pesa makaratasi brooo.Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Pole sana kuibiwa kunauma sana, lazima ukose usingizi hasa kama ndio ilikuwa akiba yako ya mwisho.Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Asante kwa ushauri!Sasa hata akichangiwa,si anaweza kurudia tena kosa lile lile? Ataenda tena kuzitoa hela zote kisha apande Daladala ziibiwe tena,
Lazima tu solve tatizo kwanza.
Trudie mambo!Pole sana kuibiwa kunauma sana, lazima ukose usingizi hasa kama ndio ilikuwa akiba yako ya mwisho.
Pole sana mkuuSiku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Yani wewe ipo siku yako litakukutaAsante kwa ushauri!
Namba umeiona lakini?
Mkuu nisamehe! Nakupigia debe usinisahau kwenye ufalme wako.Yani wewe ipo siku yako litakukuta
Poa kabisa, sawa sitasahau nitakutag.Trudie mambo!
Usisahau kunitag ile ishu
Mkuu nisamehe! Nakupigia debe usinisahau kwenye ufalme wako.
Pole sana mkuu
Kwa nini hukuweka kwenye simu lakini?Yani nimetoka Bank kuchukua kamshahara kenyewe kadogo na nimepigwa 😭😭😭
Weka namba tukuchangie hata buku bukuAsante mkuu yani hapa napiga hesabu za kutoboa hadi mwezi wa 3 zinagoma mkuu
Pole sana mkuu. Itakuwa hawo mateja walikulia timing mbaya sana. Siku moja nilikuwa na mzigo mnene mfukoni mateja wakajipanga kuniibia nikawashtukia. Hata ile gari niliyokusudia kusafiria sikuipanda kabisa nilitafuta gari nyingine. Mateja wasikie tu; sio watu!Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Ilo wazo sikua nalo mkuuKwa nini hukuweka kwenye simu lakini?
Mkuu siku nikikuta wanapiga mwizi naweza kuua kabisaPole sana mkuu. Itakuwa hawo mateja walikulia timing mbaya sana. Siku moja nilikuwa na mzigo mnene mfukoni mateja wakajipanga kuniibia nikawashtukia. Hata ile gari niliyokusudia kusafiria sikuipanda kabisa nilitafuta gari nyingine. Mateja wasikie tu; sio watu!