Kuibiwa kusikie tu

Kuibiwa kusikie tu

Pole sana ila jaribu kua makini na watu hasa unapokua na pesa taslimu,

Hao wezi inaonekana wamekufuatilia tokea unatoka Benki,kwanini unatembea na cash kubwa hivyo kwa Dunia ya leo? Kwanini hukuchukua japo Uber kwa usalama zaidi?

Pole sana ila angalia kosa lako ni lipi mpaka ikapelekea kuibiwa ili usije ukarudia tena kosa hilo hilo siku nyingine,

Nakukumbusha tu Mkuu,uwe unatoa sadaka,japo kuwasaidia wahitaji humo Barabarani.
Mwenzako anataka kuchangiwa, wewe unaleta ushauri😂
 
Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Hasara roho pesa makaratasi brooo.
Alafu wee kweli wakupata tabu kwa loss ya 350k wakati u a utajiri wa 3 billion dollars
 
Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Pole sana mkuu. Itakuwa hawo mateja walikulia timing mbaya sana. Siku moja nilikuwa na mzigo mnene mfukoni mateja wakajipanga kuniibia nikawashtukia. Hata ile gari niliyokusudia kusafiria sikuipanda kabisa nilitafuta gari nyingine. Mateja wasikie tu; sio watu!
 
Mkuu siku nikikuta wanapiga mwizi naweza kuua kabisa
 
Back
Top Bottom