mbegunjema
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 221
- 246
Pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ucjr ndio ulikua unakaribishwa mjini😂Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Asante sana cheupePole sana Antonio
Mkuu ataweka pesa kwenye Busta kwahiyo vibaka hawata weza kumuibia tena, Mimi mfumo wangu wa kuweka pesa natumia aina Mbili moja napenda Busta yenye mifuko ndiyo naitumia kuweka pesa nyingi labda milioni hii ni nzur kama naenda umbali mrefu na natumia daladala za kugombania, Mbinu ya pili natumia begi la mgongoni kuweka pesa ila mabegi yangu yote yana sehemu nyingi ndani zilizo jificha yani nikituma kanichukulie pesa utatafuta utasema hakuna,au nafunga begi na vikufuli vidogo.Sasa hata akichangiwa,si anaweza kurudia tena kosa lile lile? Ataenda tena kuzitoa hela zote kisha apande Daladala ziibiwe tena,
Lazima tu solve tatizo kwanza.
Kufarijiana tu huku, ukipoteza umepoteza hakuna cha kupokea kikubwa .Ukipoteza kidogo basi jiandae kupokea kikubwa
Niseme nini bwege wewe,utalipa? Walilipa kwa walichoiba na haikua kificho walipata walichostahili.Si useme
Kua muungwana matusi ya nini sasa?Niseme nini bwege wewe,utalipa? Walilipa kwa walichoiba na haikua kificho walipata walichostahili.
We mzee muongo ile Kodi tuma huku sasa hiviiKua muungwana matusi ya nini sasa?
Ukiwa unaongea kishari ukijibiwa unaanza kuomba huruma za wananchi.Kua muungwana matusi ya nini sasa?
Kosa ulilofanya baada ya kugundua umepigwa ni ile kuanza kulia kwa sauti kubwa, kugalagala chini na kuanza kuhadithia kila mtu kwamba umeibiwa. Ungekausha tu mkuu wala hakukua na haja ya kwenda polisi.Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Pole mshahara wote!Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭