Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
- Thread starter
- #161
Mchango toka kwa nani tena rafiki? Wanachangiwa wanawake humu na wakiume tunapewa poleKwani michango haijafika 350k?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchango toka kwa nani tena rafiki? Wanachangiwa wanawake humu na wakiume tunapewa poleKwani michango haijafika 350k?
Mchango toka kwa nani tena rafiki? Wanachangiwa wanawake humu na wakiume tunapewa pole
We ni mkanganyikoPole Mkuu,
nipigie kuna mganga natural konki namjua,unawatapisha note zako zote😁
Mkuu, kila mtu ana kiwango chake cha hela anachoona ni kikubwa.Yani hiyo hela ndio unalialia hivyo. Situlikubaliana kuwa JF HAKUNA MASIKINI.
Ukatuni mwingi naona anacheza na hisia za watuYule aliyesema uweke namba akutumie 350K alikuwa anatania?
Unajua kuna watu humu wanadharau sana mkuu na wao kisa wamejipata na wanazani life ni kwa kila mtuMkuu, kila mtu ana kiwango chake cha hela anachoona ni kikubwa.
Kwako inaweza kuwa hela ya matumizi ya siku 1 ila kwa mwingine ni matumizi ya mwezi na zaidi.
Hiyo ndio hali ilivyo miongoni mwa jamii yetu
Hadi hapo hakukuibia ila alikukanya usiseme kuwa kuna kibaka mule ndani?Next time tumia hii formula. Zamani na mm nlikuwa mbahili, yaani nikitaka kufanya malipo kama hela iko Bank, badala ya kuwa assign bank wanisaidie kulipa huo muamala tena kwa gharama ya Tshs elfu10 tu, najikuta naenda ku withdraw hata 10m kisha nabeba naenda kulipa Cash. Sasa basi, huko njiani kulivyo na risk mtu akikuona tu umetoka Bank na Kibegi... anajua huyu atakuwa na rundo la hela. Lakini kibishi bishi nikawa nafanikiwa. Ila nilikuwa nafanya patapotea bila kujua Hadi siku nlipokuja gundua kuwa elfu 10 sio kitu kwa gharama ya usalama wa Tsh 10m. Pia unaweza poteza maisha hata kwa tshs elfu 50,10, 5. watu wasivyo na utu pale wanapoona kitu Hela.
Hivyo basi, kwa sasa na tokea nilivyojitambua, nikiwa nataka kufanya muamala kuanzia 1m na zaidi, naenda zangu Bank nafanya Bank transfer. Hiyo inakuwa salaama zaidi.
Sasa basi, mjomba hapa, alitakiwa, akodi Bolt/Uber kwa bei ya tshs 5,000 ili kuilinda 350,000/= yake, matokeo yake amejiaminisha na kwenda kujichanganya kwenye mbanano wa Public Transport, yakamkuta yaliyomfika.
Kuna siku enzi hizo natoka kibaruani Mwenge Dsm nakuja zangu Ilala, nikawa nimeweka elfu 20 kwenye Pochi mfuko wa Nyuma. Tukapanda DCM za mbagala wakati huo miaka ya 2002 usafiri ni mgumu kichizi babake. Hata ukipata la kusimama unashukuru, Japo nashukia Ilala Boma.
Sasa basi, kumbe bwana sio wote wanakuwaga , ni abiria, wengine ni vibaka wanajitafutia Riziki kwenye mifuko ya Watu, wengine unakuta Mtu kavaaa vizuri kweli kweli na huwezi kumshtukia.
Jamaa mmoja, akawa anapenyeza mikono mifukoni mwa watu, ghafla nikasikia Mkono ukawa unafungua kifungo cha Mfuko wangu wa nyuma, nami nikatulia, kwa vile wallet ilikuwa imebana, nikasema akishaanza kuivuta ni mtaiti Mkono. Na kweli, nilifanikiwa, ile nageuka, ananikonyeza, Nyamaza huku akinionyesha bisi bisi, akasema sina cha kupoteza Mwanangu kama utalisanua.
Basi movie likaishia hapo hapo, nikamsitiri.
Hawajawahi kupitia nyakati ngumu ndio maana wanashangaa.Unajua kuna watu humu wanadharau sana mkuu na wao kisa wamejipata na wanazani life ni kwa kila mtu
Hawajawahi kupitia nyakati ngumu ndio maana wanashangaa.
Ila kawaida tu kwenye maisha tunaishi naoKwa mtu aliyewahi kupitia nyakati ngumu anaelewa mambo haya
Mimi nachojua jf hakuna masikini. wote wanagari kali wanabiashara zamaana, wanamajumba makubwa, kazi nzuri, wanapisi kali kama ni wanawake wanawaume matajiri bila kusahau wanadrive magari makali mfano bmw na sio passoMkuu, kila mtu ana kiwango chake cha hela anachoona ni kikubwa.
Kwako inaweza kuwa hela ya matumizi ya siku 1 ila kwa mwingine ni matumizi ya mwezi na zaidi.
Hiyo ndio hali ilivyo miongoni mwa jamii yetu
pole san broSiku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
Ulikuwa umeziweka mfuko upi hizo helaMwendokasi wamejaa sana nishawaumbua kama watatu, ila mwezi uliopita nilipigwa mimi laki 3 alafu nilimshtukia sema mbanano ule nilisogea ndani naona ananiangalia kwa kuibiwa mara yeye ndo ananipanga eti sogea utaibiwa niliposogea wakapeana ishara wakashuka nami kushuka kituo cha mwisho ndiyo nagundua hapa kausha damu wananihusu, wezi walaaniwe hasawa mwendokasi
Tuliopo humu ndio tuliopo mtaani.Mimi nachojua jf hakuna masikini. wote wanagari kali wanabiashara zamaana, wanamajumba makubwa, kazi nzuri, wanapisi kali kama ni wanawake wanawaume matajiri bila kusahau wanadrive magari makali mfano bmw na sio passo
Noma sanaHuwa nacheka sana hizi daladala zinazo piga route Mbagala, tandika, nyamisati, kisemvule, magereza to k/koo, upandaji gari kwa abiria ni balaa sana 🥺 🥺 🥺.
Hapo kweli maana daahKama umevas soksi ni salama zaidi kuzichomeka humo
HahahaKuna kipindi nlipigika hatari mfukoni nlikuwa na kitita cha afu mbili. Huwezi amini nliipoteza kwa style yako hii hii ya kuikagua kama bado ipo kila muda.
Nishagasahau kama upo humuHahaha
Pole sana kiongozi.
Hapo hujaibiwa umeidondosha