Kuibiwa na kupotea kwa Nyeti ni symbolism inayoelezea hali inayoweza kuwa inaendelea nchini

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
KUIBIWA NA KUPOTEA KWA NYETI NI SYMBOLISM INAYOELEZEA HALI INAYOWEZA KUWA INAENDELEA KWENYE NCHI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

1. Kwa Sisi wataalamu wa Lugha, Saikolojia na sosholojia tunajua kuwa Kila kitu kwenye jamii hakitokei kwa nasibu(bahatibahati).

2. Kila unachokiona kinatokea kinabeba signs, ishara inayowakilisha au inayoficha siri Fulani iliyotokea au itakayotokea.

3. Matukio yanayotokea Kila Siku ni patterns na codes za matukio yaliyopita au yanayokuja. Hakuna tukio na Jambo linalotoea kwa ghalfa vaaap! Noo! Matukio yote yanatokea kwa Patterns

4. Matukio katika maisha ni kama Mnyororo mrefu ulioshikilia patterns za matukio.

5. Yapo matukio hutokea hufichwa katika Viola,vituko na utani. Yapo matukio huficha kwenye kilio, maombolezo na machozi.

6. Matukio kama Wasabato masalia kutaka kwenda Ulaya bila pasipoti, Babu wa Loliondo, Popobawa, Dokta Shika, Kina Pierre Liquid, vioja vya Wasanii, skendo za wakubwa, kuibuka kwa manabii uchwara ni mifano ya patterns zinazotabiri mnyororo wa matukio yaliyopita na yajayo

7. Nyumbani kwako ukiona kioja chochote, utani wowote, ndani ya nyumba yako. Basi elewa kuna ujumbe umefichwa katika kioja, kituko au mzaha huo.

8. Mambo mengine hayafanyiki intensionally Bali hutokea tuu huku yakiwakilisha matukio yajayo.

9. Kama kwenye utabiri wa Hali ya hewa. Hata katika maisha ya kawaida kuna signs zinazotabiri uhalisia uliopo au ujao.

10. Kioja na kituko kilichotokea huko Mbeya ambacho kimsingi ni drama. Hakuna uhalisia wowote. Kituko au drama ya Mtu kupoteza nyeti zake baada ya kuguswa na MTU mwingine maalum. Yaani mtu huyo maalum akikugusa unajihisi kama unapata hisia Fulani kisha ukija kushtuka unashangaa huna nyeti;

11. Ni Kituko na drama iliyobeba ukweli Fulani ambao upo katika maisha halisi na upo.

12. Symbolism hii inawakuta zaidi wanaume. Yaani nyeti zinazopotezwa nizawanaume pekee. Bado hatujasikia nyeti za wanawake. Unajua maana yake?

13. Kuibiwa Nyeti ni symbolism inayowakilisha mambo Makuu yafuatayo;
a) Uwezo wa Kuzalisha na uzalishaji.
Hapa kuna uzalishaji wa kiuchumi na uzalishaji wa vizazi.
Unapoiba Nyeti au kuondoa nyeti za wanaume inabeba tafsiri kuwa jamii husika haitakuwa na uwezo wa kuzalisha kiuchumi au imeondolewa uwezo wa kuzalisha kiuchumi. Huku zile main means of production zikiwa zimedhibitiwa watu wa Jamii husika wasizimiliki.

Na hii itaathiri Future ya vizazi vijavyo.

b) Kuondolewa Kwa Identity(utambulisho) wa mwanaume.
Kumbuka Nyeti sio tuu kiungo cha kutolea takamwili kama Mkojo na kiungo cha uzazi. Bali pia ni Utambulisho kwa mtu kuwa ni jinsia ya kike au kiume.

Kile kioja kimejikita kuondoa nyeti za mwanaume. Kumaanisha kuondoa utambulisho ya uanaume.

Jambo Hilo ni Symbolism kuwa utambulisho wa uanaume upo hatarini. Hata kama sio kuondoka wote lakini kuna Hali inaendelea na inakuja ya kuuathiri uanaume.
Ukija kwenye uhalisia utaona, ni Kweli uanaume upo kwenye shambulio Kali na unapokea mashambulizi pande zote.

Fikiria sasa hivi huwezi kujua mwanaume ni yupi akiongea na mwanamke ni yupi akiongea. Siku hizi wanaume baadhi wanaongea kama wanawake.
Wanaongea sauti laini, wanaongea bila kujiamini, wanaongea Kwa mihemko, wanaongea umbeaumbea. Mwanaume anasikia aibu kuzungumza mbele za watu. Mwanaume anaogopa watu watamuonaje. Hivyo inabidi akae kimya. Anaogopa judgement kutoka kwa watu. Mwanaume hupaswi kuwa hivyo.

Fikiria wanaume sasa hivi wanajiremba, wanajichubua, wanapaka mpaka makeup na lipstick, wanaume Siku hizi wanahudumiwa, wengine wanapumuliwa.

Fikiria sasa hivi wanaume wanaambiwa waombe Msamaha ni kwamba wakati wanafanya maamuzi walikurupuka, hawakujua wanafanya nini. Yaani hawatumii akili.
Mwanaume anapiga magoti, anajishusha kwa mwanamke ati ili ndoa sijui ili mwanamke asiondoke. Hii ndio ule mguso unaguswa nyeti huna. Mwanaume mwenye nyeti zake hawezi Fanya huo upuuzi.

Fikiria mwanaume mzima analalamika au kumlalamikia mtu mwingine kuhusu maisha yake. Kwamba analipwa pesa ndogo. Sijui mshahara Mdogo. Yaani unamlalamikia mwanaume mwingine anakulipa hela ndogo. Si uache KAZI? Kwani lazima ufanye kazi kwake? Kwani kazi ni moja?
Umepewa nguvu na akili zote hizo kazi yake unatumia kulalamikia watu. Mashamba yamejaa, biashara zipo kibao. Unamlalamikia Nani?

Unapolalamika unafikiri Nani anajali kukuhusu? Unajua watu wanaolalamika kisaikolojia hutafuta huruma, kingine ni watu wanaotawaliwa. Ndio hulalamika kwa sababu wamefungwa mikono.
Mwanaume wewe ni mtawala, badala uchukue hatua unalalamika. Unalalamika nini?

Ukishachukuliwa Nyeti zako kifuatacho ni malalamiko, future yako inakuwa hatarini, utambulisho wako unaanguka. Yaani upo upo!

Nawatakia Pasaka Njema. Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Una hoja mkuu, siongelei hiyo sanaa ya kuibiwa makengele ila uanaume kwa ujumla umepigwa sana recently na wanaume wenyewe zaidi kuliko na jinsia ingine. Hoja nyingi hata hapa jamvini ni malalamiko tu na uchawa hamna solutions kabisa ni kulialia tu na zaidi kushauriana kusugua goti!

Makamu wa rais mwenyewe anashauri serikali ya mamaduro iombewe ili watu wabaya wasimfikie hana solution ya matatizo ya nchi na mama yao kudanganywa na mafisadi deile au mama yao kufisadi nchi kupitia third parties pia, sasa hawa ndio reflection ya jamii yetu yani
 
Aisee ! Umetiririka kweli namba 7 nimewahi kwenda ugenini kumtembelea rafiki yangu, sasa pale nyumbani kulikuwa na jamaa fulani hv..tukiwa tunapiga stori mim,rafiki yangu na yule jamaa ambaye sikuelewa pale anafanya nini nikasikia yule jamaa anaropoka kumwambia rafiki yangu "Huyu atoke hapa nyumbani aende wapi kazi yake ni kukaa ndani kama utumbo" anaongea kama utani wakati rafiki yangu kuna maeneo huwa tunakumbana halafu kila moja anamshangaa mwenziye umefikaje na wewe huku..Sasa ule utani wa jamaa mbele yangu mimi mgeni sikujua alikuwa anamaanisha nini na ananipa picha gani kwa rafiki yangu.
 
Hatari Sana aiseeh!
 
KUIBIWA NA KUPOTEA KWA NYETI NI SYMBOLISM INAYOELEZEA HALI INAYOWEZA KUWA INAENDELEA KWENYE NCHI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

1. Kwa Sisi wataalamu wa Lugha, Saikolojia na sosholojia tunajua kuwa Kila kitu kwenye jamii hakitokei kwa nasibu(bahatibahati).

2. Kila unachokiona kinatokea kinabeba signs, ishara inayowakilisha au inayoficha siri Fulani iliyotokea au itakayotokea.

3. Matukio yanayotokea Kila Siku ni patterns na codes za matukio yaliyopita au yanayokuja. Hakuna tukio na Jambo linalotoea kwa ghalfa vaaap! Noo! Matukio yote yanatokea kwa Patterns

4. Matukio katika maisha ni kama Mnyororo mrefu ulioshikilia patterns za matukio.

5. Yapo matukio hutokea hufichwa katika Viola,vituko na utani. Yapo matukio huficha kwenye kilio, maombolezo na machozi.

6. Matukio kama Wasabato masalia kutaka kwenda Ulaya bila pasipoti, Babu wa Loliondo, Popobawa, Dokta Shika, Kina Pierre Liquid, vioja vya Wasanii, skendo za wakubwa, kuibuka kwa manabii uchwara ni mifano ya patterns zinazotabiri mnyororo wa matukio yaliyopita na yajayo

7. Nyumbani kwako ukiona kioja chochote, utani wowote, ndani ya nyumba yako. Basi elewa kuna ujumbe umefichwa katika kioja, kituko au mzaha huo.

8. Mambo mengine hayafanyiki intensionally Bali hutokea tuu huku yakiwakilisha matukio yajayo.

9. Kama kwenye utabiri wa Hali ya hewa. Hata katika maisha ya kawaida kuna signs zinazotabiri uhalisia uliopo au ujao.

10. Kioja na kituko kilichotokea huko Mbeya ambacho kimsingi ni drama. Hakuna uhalisia wowote. Kituko au drama ya Mtu kupoteza nyeti zake baada ya kuguswa na MTU mwingine maalum. Yaani mtu huyo maalum akikugusa unajihisi kama unapata hisia Fulani kisha ukija kushtuka unashangaa huna nyeti;

11. Ni Kituko na drama iliyobeba ukweli Fulani ambao upo katika maisha halisi na upo.

12. Symbolism hii inawakuta zaidi wanaume. Yaani nyeti zinazopotezwa nizawanaume pekee. Bado hatujasikia nyeti za wanawake. Unajua maana yake?

13. Kuibiwa Nyeti ni symbolism inayowakilisha mambo Makuu yafuatayo;
a) Uwezo wa Kuzalisha na uzalishaji.
Hapa kuna uzalishaji wa kiuchumi na uzalishaji wa vizazi.
Unapoiba Nyeti au kuondoa nyeti za wanaume inabeba tafsiri kuwa jamii husika haitakuwa na uwezo wa kuzalisha kiuchumi au imeondolewa uwezo wa kuzalisha kiuchumi. Huku zile main means of production zikiwa zimedhibitiwa watu wa Jamii husika wasizimiliki.

Na hii itaathiri Future ya vizazi vijavyo.

b) Kuondolewa Kwa Identity(utambulisho) wa mwanaume.
Kumbuka Nyeti sio tuu kiungo cha kutolea takamwili kama Mkojo na kiungo cha uzazi. Bali pia ni Utambulisho kwa mtu kuwa ni jinsia ya kike au kiume.

Kile kioja kimejikita kuondoa nyeti za mwanaume. Kumaanisha kuondoa utambulisho ya uanaume.

Jambo Hilo ni Symbolism kuwa utambulisho wa uanaume upo hatarini. Hata kama sio kuondoka wote lakini kuna Hali inaendelea na inakuja ya kuuathiri uanaume.
Ukija kwenye uhalisia utaona, ni Kweli uanaume upo kwenye shambulio Kali na unapokea mashambulizi pande zote.

Fikiria sasa hivi huwezi kujua mwanaume ni yupi akiongea na mwanamke ni yupi akiongea. Siku hizi wanaume baadhi wanaongea kama wanawake.
Wanaongea sauti laini, wanaongea bila kujiamini, wanaongea Kwa mihemko, wanaongea umbeaumbea. Mwanaume anasikia aibu kuzungumza mbele za watu. Mwanaume anaogopa watu watamuonaje. Hivyo inabidi akae kimya. Anaogopa judgement kutoka kwa watu. Mwanaume hupaswi kuwa hivyo.

Fikiria wanaume sasa hivi wanajiremba, wanajichubua, wanapaka mpaka makeup na lipstick, wanaume Siku hizi wanahudumiwa, wengine wanapumuliwa.

Fikiria sasa hivi wanaume wanaambiwa waombe Msamaha ni kwamba wakati wanafanya maamuzi walikurupuka, hawakujua wanafanya nini. Yaani hawatumii akili.
Mwanaume anapiga magoti, anajishusha kwa mwanamke ati ili ndoa sijui ili mwanamke asiondoke. Hii ndio ule mguso unaguswa nyeti huna. Mwanaume mwenye nyeti zake hawezi Fanya huo upuuzi.

Fikiria mwanaume mzima analalamika au kumlalamikia mtu mwingine kuhusu maisha yake. Kwamba analipwa pesa ndogo. Sijui mshahara Mdogo. Yaani unamlalamikia mwanaume mwingine anakulipa hela ndogo. Si uache KAZI? Kwani lazima ufanye kazi kwake? Kwani kazi ni moja?
Umepewa nguvu na akili zote hizo kazi yake unatumia kulalamikia watu. Mashamba yamejaa, biashara zipo kibao. Unamlalamikia Nani?

Unapolalamika unafikiri Nani anajali kukuhusu? Unajua watu wanaolalamika kisaikolojia hutafuta huruma, kingine ni watu wanaotawaliwa. Ndio hulalamika kwa sababu wamefungwa mikono.
Mwanaume wewe ni mtawala, badala uchukue hatua unalalamika. Unalalamika nini?

Ukishachukuliwa Nyeti zako kifuatacho ni malalamiko, future yako inakuwa hatarini, utambulisho wako unaanguka. Yaani upo upo!

Nawatakia Pasaka Njema. Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Dini zenu hizo za Wazungu na Waarabu ndio zimewaharibu.

Kwamba huwezi pata Neema ya Mungu ukiitwa Palamagamba Hadi uitwe Heriel au Abdul 😂😂😂😂

Kwa utaratibu huu acha wajinga wachukuliwe nyeti.
 
Heriel ni mchanganyiko wa Heri(Baraka) + El( mungu)
Kwamba ni mchanganyiko wa jina la Kiswahili lenye asili ya kiarabu(Heri, kheri) na jina la kiebrania na kiaramu (el)

Kumaanisha Baraka za Mungu.

Hoja yako ya utumwa wa kifikra ni kweli ipo Sana kwenye jamii zetu
 
Tutarajie yule Polisi mkubwa wa Jiji kushushwa cheo? Maana amekanusha kutokuwepo kwa hilo jambo
 
Dunia ina wapumbavu wengi.
Swali. Umesema mwanaume kuona aibu kuongea mbele za watu nini? Fikria tena. Saikolojia inasemaje?

Andiko zuri ila lina mapungufu kadhaa!
 
As we speak wanasayansi wa anga za juu NASA wakiwa 4 na wapo siku ta 5 leo wakisafiri anga za juu, wamesha-exit orbit ya Dunia sasa wanaelekea kuzunguka mwezi kuona maajabu ya uubaji wa Mungu wetu. Hii ni mission ya II chombo kwenda huko na bianadamu, ya kwanza ilikuwa mwaka 1969 na Apollo 11.

Sisi sasa 2026 hii tunapambana na eti kuibiana NYETI zetu - na taifa zima linashadadia huo ujinga.

Ngozi nyeusi tuna matatizo mengi na mengi ni ya kujitafutia.
 
Hapa wanaume tumepumbazwa,na hoja sisizo kuwa na mwelekeo,nyet inaibiwa ipelekwe wap kama sio upuz tunao et wanaume hapa dar wanapit wakiwa wameshikilia nyeti zao,wakihofia kuibiwa.kwa huo muonendo naona tukipotea,na tatizo taifa lishaamin upuuz huo
 
𝖪𝗎𝗓𝖺𝗅𝗂𝗐𝖺 𝖠𝖿𝗋𝗂𝗄𝖺 𝗇𝗂 𝗅𝖺𝖺𝗇𝖺.
 
Heriel ni mchanganyiko wa Heri(Baraka) + El( mungu)
Kwamba ni mchanganyiko wa jina la Kiswahili lenye asili ya kiarabu(Heri, kheri) na jina la kiebrania na kiaramu (el)

Kumaanisha Baraka za Mungu.

Hoja yako ya utumwa wa kifikra ni kweli ipo Sana kwenye jamii zetu
We kaka una ukomavu sana wa kifikra
 
Back
Top Bottom